Majadiliano:Toi
Mandhari
Mwanasesere ndiyo jina sahihi kabisa.. Hili hapa, hapana!--MwanaharakatiLonga 08:39, 23 Juni 2015 (UTC)
- Asante kwa ushauri. Sema kweli hizi picha nne kila moja ni mwanasesere?
-
Gololi za kioo
-
Basi ya ubao kwa kuchezea
-
Doli kutoka Turkana, Kenya
-
Matofali ya plastiki ya Lego
Kipala (majadiliano) 10:28, 23 Juni 2015 (UTC)
- Kwa tafsiri ya jumla, ndiyo. Neno lina asili ya Kizaramo.. Mwana-achezee! Kipala bwana.. hahaha--MwanaharakatiLonga 13:30, 23 Juni 2015 (UTC)
- Wazo langu la mwisho. Kwa vile lugha ya "toy" tushaiswahilisha katika Kiswahili cha sasa ni "toi" hivyohivyo - tena tunaviita hadi kwa wingi wake "vitoi" ni kheri iende kwa jina hilo kuliko majina hayo yote mawili.--MwanaharakatiLonga 14:42, 23 Juni 2015 (UTC)
- Kwa hiyo iwe Kitoi-vitoi? Au toi - vitoi?Kipala (majadiliano) 20:21, 23 Juni 2015 (UTC)
- Makala iwe toi (kwenye mabano kichezeo', mwanasesere na mengineyo). Halafu redirects ziwe "kitoi", "vitoi" na kadhalika. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 05:36, 24 Juni 2015 (UTC)