Manihi
Mandhari
Manihi ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Takaroa. Eneo la kisiwa ni 13 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Paeua. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 685. Watu wakaao kisiwani kwa Manihi huongea Kituamotu na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|