Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Marc Aaronson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marc Aaronson (24 Agosti 1950 - 30 Aprili 1987) alikuwa mwanaanga wa Marekani. Aaronson alizaliwa jijini Los Angeles, California.

Aaronson alifundishwa katika Taasisi ya Teknolojia ya California, alimaliza Ph.D. mwaka 1977 katika chuo kikuu cha Harvard.

Kazi yake ilizingatia kwenye utafiti wa nyota tajiri za kaboni.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marc Aaronson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.