Mkoa wa Almería
Mandhari
Mkoa wa Almería | |||
Mahali pa Mkoa wa Almería katika Hispania | |||
| |||
Nchi | Hispania | ||
---|---|---|---|
Eneo | Andalusia | ||
Mji mkuu | Almeria | ||
Eneo | |||
- Jumla | 8,774 km² | ||
Tovuti: http://www.dipalme.org/ |
Almería ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 684,000. Mji wake mkuu ni Almeria.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Almería kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |