Mlima Kosciuszko
Mandhari
Mlima Kosciuszko ni mlima mrefu kuliko yote ya Australia, ukiwa na kimo cha mita 2,228 juu ya usawa wa bahari. Baadhi wanauhesabu kuwa wa kwanza katika bara la Oceania.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Kosciuszko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |