Mtumiaji:Dee Soulza
Mandhari
KUMHUSU DEE SOULZA
Dee Soulza ni muelimishaji aishie nchini Tanzania. Kutoa mchango kwenye masuala ya elimu au uelimishaji, ni jambo la mapenzi makubwa kwake.
Anafanya kwa mapenzi kazi za kutafsiri makala (Kiingereza - Kiswahili) kama ile ya Jaribio la kumuua Donald Trump na Kujitoa kwa Joe Biden kwenye uchaguzi mkuu wa Marekani. Mifano wa makala alizoandika ni Changamoto Zinazokikabili Kiswahili na King Kikii
Favourite quote
"Wisdom is better than the silver and gold to the bridge " - Bob Marley.
Mawasiliano ya msingi
Barua pepe: bizlikecomm@gmail.com