Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Ez3 Kido2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Utangulizi

[hariri | hariri chanzo]

Robin Givhan alizaliwa tarehe Septemba 11, 1964.Ni msanifu wa mitindo na s a fashion editor and Ni mwandishi aliyeshinda tuzo ya Pulitzer. Givhan alikua msanifu wa mitindo katika jarida la Washington Post. Alijiunga na chipuko laDetroit, MI. Alikua mkandamizaji katika shule ya Renaissance High School Mnamo mwaka 1982, alihitimu katika chuo kikuu Princeton mnamo mwaka 1986, na kutunukiwa shahada ya Uzamivu ya uandishi wa habari kutoka chuo kikuu Cha Michigan, Ann Arbor Baada ya kufanya kazi katika Detroit Free Press kwa karibia miaka Saba, alipata nafasi katika San Francisco Chronicle na Vogue (majarida)|Vogue]. Givhan alikua mgeni rasmi katika ripoti ya Colbert iliyofanyika Januari 2006. Mnamo mwaka 2009 alihama kutoka jiji la New York kuhamia Jimbo la Washington, ambapo kazi zake za mitindo zilikua na kumzidi mke wa rais Obama Michelle Obama.[1]

Kutambuliwa na machapisho

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2013, Robin Givhan aliingizwa katika chuo kikuu cha Michigan. Kitabu cha Givhan kuhusu Maonyesho ya Mitindo ya Vita vya Versailles ijulikanayo kamaThe Battle of Versailles.Mtindo wa Usiku wa Amerika Alikwama kwenye Uangalizi na Historia Iliyotengenezwa: na Flatiron Books mnamo mwaka 2015.[2][3] Pia alichangia kwenye uandishi wa vitabu vingi, ikiwemo maelezo mafupi ya mpiga picha Kama vile vitabu vya Lucian Perkins Runway Madness na kitabu cha kumbukumbu kiitwacho Michelle: mwaka wake wa Kwanza Kama mke wa rais.

2006 Pulitzer Prize for Criticism[4]
  1. "Rbin GivhanFeels 'Disgruntled' by Fall's Eighties Comeback". The Cut. Iliwekwa mnamo Septemba 27, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Soller, Kurt. "Robin Givhan on Jumping Back Into Fashion Week". The Cut. Iliwekwa mnamo Septemba 27, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. The Battle of Versailles: The Night American Fashion Stumbled into the Spotlight and Made History at Amazon.
  4. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named auto