Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Newcastle United

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa mpira wa miguu wa Newcastle United unaojulikana kama St.James Park

Newcastle United ni klabu ya soka ya Uingereza iliyoko Newcastle upon Tyne, ambayo inacheza katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).[1]

Newcastle United ilianzishwa mwaka 1892 kutokana na muunganiko wa Newcastle East End na Newcastle West End.

  1. "Premier League Handbook 2020/21" (PDF). Premier League. uk. 30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Newcastle United kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.