Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Nicholas Butler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nicholas M. Butler

Nicholas Murray Butler (2 Aprili 18627 Desemba 1947) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Columbia, na alijitahidi hasa upande wa elimu ya kimataifa. Mwaka wa 1912, alipofariki Kaimu Rais James Sherman, Butler aliteuliwa kuchukua nafasi yake Sherman chini ya Rais William Howard Taft katika uchaguzi wa 1912 lakini wakashindwa na Woodrow Wilson. Mwaka wa 1931, pamoja na Jane Addams alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Butler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.