Papa Formosus
Mandhari
Papa Formosus (takriban 816 – 4 Aprili 896) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Oktoba, 891 hadi kifo chake[1]. Kabla ya hapo alikuwa askofu wa jimbo la Porto, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Stefano V akafuatwa na Papa Boniface VI.
Maiti yake ilichimbuliwa na kunajisiwa na Papa Stefano VI katika Sinodi ya Maiti kwa sababu za kisiasa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Brusher, Joseph (1959). "Sergius III". Popes Through the Ages. Neff-Kane. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Februari 2008. Iliwekwa mnamo 2 Januari 2008.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Darras, Joseph-Epiphane (1898). A General History of the Catholic Church. Juz. la 2. New York: Excelsior Catholic Publishing House. Iliwekwa mnamo 31 Januari 2018.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Gregorovius, Ferdinand (1903). The History of the City of Rome in the Middle Ages. Juz. la 3 (tol. la 2nd). London: George Bell & Sons.
- Kirsch, Johann Peter (1909). . Katika Herbermann, Charles G.; Pace, Edward A.; Pallen, Condé B.; Shahan, Thomas J.; Wynne, John J. (whr.). Catholic Encyclopedia. Juz. la 6. New York: Encyclopedia Press (ilichapishwa mnamo 1913). ku. 139–141. This article incorporates text from this public-domain publication.
- Mann, Horace K. (1906). The Lives of the Popes In The Early Middle Ages. Juz. la 3. London: Keegan Paul, Trench, Trübner & Co. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2018.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ——— (1910). The Lives of the Popes In The Early Middle Ages. Juz. la 4. London: Kegan Paul, Trench, Trübner, & Co. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2008.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Miley, John (1850). The History of the Papal States From Their Origin to the Present Day. Juz. la 2. London: T.C. Newby. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2018.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Milman, Henry Hart (1867). History of Latin Christianity. Juz. la 3 (tol. la 4th). London: John Murray.
- Mosheim, Johann Lorenz von (1852). Institutes of Ecclesiastical History, Ancient and Modern. Juz. la 2. Ilitafsiriwa na Murdock, James (tol. la 5th). New York: Stanford and Swords. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2008.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Platina, B. (1479). The Lives of the Popes from the Time of Our Saviour Jesus Christ to the Accession of Gregory VII. Juz. la 1. London: Griffith Farran & Co. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2008.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Wickham, Chris (2014). Medieval Rome: Stability and Crisis of a City, 900–1150. Oxford: Oxford University Press. ISBN 978-0-19-103090-1.
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Bautz, Friedrich Wilhelm (1990). "Formosus, Papst". Katika Bautz, Friedrich Wilhelm (mhr.). Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (kwa Kijerumani). Juz. la 2. Hamm, Germany: Bautz. cols. 70–71. ISBN 978-3-88309-032-0.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Formosus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |