Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Paramount Pictures

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Paramount Pictures.
Msanii Dario Campanile amesimama mbele ya mchoro alioumba kwa Paramount Studios kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 75.

Paramount Pictures ni kampuni ya utayarishaji na usambazaji wa filamu nchini Marekani.

Kampuni ipo 5555 Melrose Avenue huko mjini Hollywood, California. Ilianzishwa mwaka wa 1912 na kwa sasa inamilikiwa na shirikisho la vyombo vya habari Viacom. Hii ni kampuni kongwe ya studio ya filamu ya Kimarekani ambayo bado inafanya kazi; pia ni ya mwisho katika orodha ya mastudio makubwa ya filamu yenye makao yake huko Hollywood, Los Angeles. Paramount husimama kama moja kati ya mastudio ya filamu yenye kupata mapato mengi ya mauzo ya filamu.[1]

  1. "BoxOfficeMojo.com". BoxOfficeMojo.com. 2009-12-31. Iliwekwa mnamo 2010-01-07.
  • Berg, A. Scott. Goldwyn. New York: Alfred A. Knopf, 1989.
  • DeMille, Cecil B. Autobiography. Englewood Cliffs, NJ: Prentice-Hall, 1959.
  • Eames, John Douglas, with additional text by Robert Abele. The Paramount Story: The Complete History of the Studio and Its Films. New York: Simon & Schuster, 2002.
  • Evans, Robert. The Kid Stays in the Picture. New York: Hyperion Press, 1994.
  • Gabler, Neal. An Empire of Their Own: How the Jews Invented Hollywood. New York: Crown Publishers, 1988.
  • Lasky, Jesse L. with Don Weldon, I Blow My Own Horn. Garden City NY: Doubleday, 1957.
  • Mordden, Ethan. The Hollywood Studios. New York: Alfred A. Knopf, 1988.
  • Schatz, Thomas. The Genius of the System. New York: Pantheon, 1988.
  • Sklar, Robert. Movie-Made America. New York: Vintage, 1989.
  • Zukor, Adolph, with Dale Kramer. The Public Is Never Wrong: The Autobiography of Adolph Zukor. New York: G.P. Putnam's Sons, 1953.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paramount Pictures kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.