Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Puka-Puka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Puka-Puka

Puka-Puka ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa funguvisiwa ya Tuamotu. Eneo la kisiwa ni 5 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Te One Mahina. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 166. Watu wakaao kisiwani kwa Puka-Puka huongea Kimarkesa ya Kusini na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.