Rama
Mandhari
Rama ni mungu mmojawapo wa Wahindu ambaye anajulikana kama Maryada Purushottam, Mkuu wa Uungu. Katika Uhindu, wanaamini kuwa ni avatar wa mungu Vishnu na pia kama Mkuu wa Uungu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Schomer, Karine; McLeod, W. H. (1987). The Sants: Studies in a Devotional Tradition of India (kwa Kiingereza). Motilal Banarsidass Publ. ISBN 978-81-208-0277-3.