Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Salma Paralluelo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paraluelo akiwa na Barcelona mnamo 2024

Salma Celeste Paraluelo Ayingono (alizaliwa 13 Novemba 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania na mwanariadha wa zamani ambaye anacheza kama winga wa kushoto wa klabu ya Liga F Barcelona na timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania. Yeye ndiye mchezaji wa kwanza kuwahi kushinda Vikombe vyote vitatu vya Dunia vya jinsia moja, baada ya kushinda Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake la 2023, Kombe la Dunia la FIFA la chini ya miaka 20 lililofanyika 2022, na Kombe la Dunia la FIFA la chini ya miaka 17 lililofanyika 2018.[2][3][4]

  1. "Salma Paralluelo Liga F". Salma Paralluelo (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
  2. https://www.fifa.com/fifaplus/en/tournaments/womens/womensworldcup/australia-new-zealand2023/articles/spain-salma-paralluelo-womens-world-cup-u-17-u-20-champion-2023
  3. "'It's a great day for Spanish women's football'", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-13
  4. Downey, Sophie (2023-08-15), "Spain reach their first Women's World Cup final as late winner sinks Sweden", The Guardian (kwa Kiingereza (Uingereza)), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2024-04-13
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salma Paralluelo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.