Sarafu ya Ethereum
Mandhari
Sarafu ya Ethereum (kwa Kiingerezaː Ethereum) ni mfumo huria wa malipo ya kidijiti yasiyo na usimamizi wa taasisi yoyote ya kiserikali kama vile Benki Kuu.
Sarafu hii ni ya pili kwa ukubwa miongoni mwa sarafu za kidijiti baada ya Sarafu ya Bit. [1]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Wazo la kuunda mfumo wa Ethereum lilitolewa mwaka 2013 na Vitalik Buterin, mtafiti wa masuala ya sarafu za kidijiti.
Ethereum ilianza kutumika rasmi tarehe 30 Julai 2015 ambapo sarafu milioni 11.9 "zilichimbwa". [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sarafu ya Ethereum kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |