Soprano
Mandhari
Soprano | |
---|---|
Soprano katika pozi
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Francis Xavery Ndumbaro |
Amezaliwa | 2 Mei 1984 Kiwalani, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania |
Asili yake | Songea |
Aina ya muziki | Pop, R&B, dance-pop, Bongo Flava |
Kazi yake | Mwimbaji, Mutnzi wa nyimbo, Mwigizaji |
Studio | AM Records |
Ame/Wameshirikiana na | Dknob Ommy G. P. One Cyrill |
Francis Xavery Ndumbaro, au Soprano (amezaliwa 2 Mei 1984), ni mwimbaji wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.
Anaweza kuwa anafahamika zaidi kwa kuimba nyimbo za Kausha na Pamoja Nawe, ambazo alizishirikisha mwimbaji mwingine wa hip hop na Bongo Flava, Dknob.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soprano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |