Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Sora Fukuzumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sora Fukuzumi (alizaliwa 15 Februari 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake Nojima Stella Kanagawa Sagamihara inayoshiriki ligi ya WE League. [1][2]


  1. "Sora Fukuzumi". Sora Fukuzumi.
  2. "Japan Women's Empowerment Professional Football League – Scoresheet" (PDF). 2021-10-10. Iliwekwa mnamo 2021-10-10.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sora Fukuzumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.