Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Tashbiha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tashbiha (au tashibiha au tashbihi, kutokana na neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "simile") ni usemi wa kufananisha au kulinganisha mambo mawili au zaidi kwa kutumia kiunganishi, kwa mfano: kama, mathalani, mithili ya, na kadhalika.

Tamathali hiyo inaweza kuinua sentensi iwe na hadhi ya sanaa kwa jinsi inavyopendeza.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tashbiha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.