Timbaland
Mandhari
Timbaland | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Timothy Zachery Mosley |
Pia anajulikana kama | DJ Timmy Tim, Timbo, Thomas Crown |
Amezaliwa | 10 Machi 1971 |
Asili yake | Virginia Beach, Virginia, United States |
Aina ya muziki | Hip hop, R&B, pop, rock |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi, mtunzi wa nyimbo, mwimbaji, mwanamuziki, rapa |
Ala | Gitaa, Besi gitaa, mandolin, kinanda, kurap, sauti, kugonga biti, vocoder, ngoma |
Aina ya sauti | Besi |
Miaka ya kazi | 1993—mpaka sasa |
Studio | Blackground, Mosley Music, Interscope |
Ame/Wameshirikiana na | Timbaland & Magoo |
Timothy Zachery Mosley (amezaliwa tar. 10 Machi 1971)[1] ni mshindi wa Tuzo za Grammy-akiwa kama mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji na rapa bora kutoka nchini Marekani. Timbaland ametayarisha maalbamu na masingle kibao ya wasanii tangu katikati mwa miaka ya 1990 mpaka leo hii.
Kazi ya kwanza ya Timbaland ambayo imempa sifa kubwa ni ile ya mwaka wa 1996 kwenye Ginuwine...the Bachelor ya mwimbaji wa R&B Ginuwine. Baada ya kupata mafanikio makubwa kwa kazi ya albamu ya Aaliyah ya 1996, One in a Million na albamu ya Missy Elliott ya 1997, Supa Dupa Fly, Timbaland akawa mtayarishaji maarufu sana kwa upande wasanii wa R&B na hip-hop. Awali alitoa albamu kadhaa kwa ajili ya rapa mwenzi wake Magoo.
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]- 1997: Welcome to Our World 1
- 1998: Tim's Bio: Life from da Bassment
- 2001: Indecent Proposal 1
- 2003: Under Construction, Part II 1
- 2007: Shock Value
- 2009: Shock Value 2
1 with Magoo , Rene' Diamond Hilton
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Birchmeier, Jason. "Timbaland - Biography". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-11-23.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official site
- Official Timbaland Blog Ilihifadhiwa 5 Juni 2019 kwenye Wayback Machine.
- Timbaland at the Internet Movie Database
- Video katika YouTube
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Timbaland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |