Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Tuzo ya Pulitzer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo ya Pulitzer

Tuzo ya Pulitzer ni tuzo iliyoanzishwa na Joseph Pulitzer katika hati ya wasia yake. Tangu mwaka wa 1917 imetolewa kila mwaka na Chuo Kikuu cha Columbia katika mji wa New York kwa ajili ya maandishi hodari yanayoendeleza uandikaji habari na fasihi ya Marekani kwa jumla.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo ya Pulitzer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Aina za tuzo

[hariri | hariri chanzo]

Kuna aina mbalimbali za Tuzo ya Pulitzer: