Uche Henry Agbo
Mandhari
Uche Henry Agbo (alizaliwa 4 Desemba 1995) ni mtaalam wa mpira wa miguu kutokea Nigeria ambaye anacheza kiungo wa kujihami katika klabu ya Slovan Bratislava katika ligi ya Fortuna Liga.[1]
Ushiriki Katika Klabu
[hariri | hariri chanzo]Uche ni Mzaliwa wa Kano, Uche alianza kucheza katika umri wa chini katika klabu ya Bai, na kuhamia klabu ya Taraba mnamo 2010. [2] Mnamo Mei 2011 Uche alisaini mkataba na klabu ya Juth [3].
Ushiriki Kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Uche alipata simu yake ya kwanza kuitwa na mwandamizi wa klabu ya Taifa Nigeria kuchukua nafasi ya Leon Balogun aliyejeruhiwa katika kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA dhidi ya timu ya taifa ya Zambia mnamo Oktoba 2016.[4]
Heshima
[hariri | hariri chanzo]Slovan Bratislava
- Ligi Ya Fortuna: 2021–22
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Prichádza posila so skúsenosťami z La Ligy". www.skslovan.com (kwa Kislovakia). Iliwekwa mnamo 2 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Uche Agbo Archived 3 Septemba 2014 at the Wayback Machine.; Foetbal 247, 4 January 2012
- ↑ Enyimba triumphant again after 2–0 Dolphins win Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine.; Enyimba's official website, 28 April 2013
- ↑ Uche Agbo Archived 3 Septemba 2014 at the Wayback Machine.; Foetbal 247, 4 January 2012
Viungo Vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uche Henry Agbo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |