Uonyesho wa fuwelemaji
Mandhari
Katika utarakilishi, uonyesho wa fuwelemaji ((pia: zinzo fuwelemaji[1]; kwa Kiingereza: liquid crystal display) ni uonyesho wa paneli bapa unaotumia sifa bainifu za fuwelemaji kutokeza picha. Uonyesho wa fuwelemaj ni aina mojawapo ya uonyesho.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "ISTILAHI ZA KISWAHILI CHA KOMPYUTA – Mwalimu Wa Kiswahili" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-21. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |