Ushoroba
Mandhari
Ushoroba (pia: korido, kutoka Kiingereza: corridor) ni sehemu nyembamba ndani ya nyumba au pia baina ya nyumba na nyumba.
Ndani ya nyumba ni sehemu iliyofungwa kati ya kuta kwenda kutoka sehemu moja hadi nyingine, mara nyingi vyumba vimepangwa pande zote mbili za ushoroba.
Hutumiwa hasa katika majengo kama shule na ofisi, lakini pia kwenye hoteli.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Corridor, makala katika designingbuildings.co.uk
- Mark Jarzombek: Corridor Spaces, jarida la Critical Enquiry, Chicago Summer 2010, ISSN 0093.1896
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ushoroba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |