Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Wasia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wasia (pia: Wosia, Usia, kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza: Testament) ni maelezo yanayotolewa na mtu ili yatekelezwe na watakaobaki baada ya kifo chake au kuondoka kwake mahali, hasa ugawaji wa mali alizoacha.

Vilevile yanaweza kuwa maadili mema kuhusu maisha na mwenendo mzuri ambao mtu anapewa na mwingine ambaye kwa kawaida anamzidi umri.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.