Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Wateso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makazi ya Kiteso.

Wateso ni kabila kubwa la watu (4,000,000 hivi) wa jamii ya Waniloti wanaoishi mashariki mwa Uganda na magharibi mwa Kenya.

Lugha yao ni Kiteso, mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wateso kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.