Watumishi wa Wagonjwa
Mandhari
Wakamili au (Makleri Watawa) Watumishi wa Wagonjwa ni jina la shirika la Kanisa Katoliki lililoanzishwa na Kamili wa Lellis.
Mnamo Juni 2006, shirika lilikuwa na kanda 14, baadhi yake zikiwa na nyumba za kitawa nje ya nchi husika, k.mf. katika Jimbo Kuu la Dar-es-Salaam nchini Tanzania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Website of the order Ilihifadhiwa 28 Januari 2010 kwenye Wayback Machine. (Italian)
- North American Province website
- Indian Vice Province website