Zagreb
Mandhari
Zagreb ni mji mkuu wa Kroatia. Ina wakazi 973,667 2005. Iko katika kaskazini ya nchi kando la mto Sava kwenye kimo cha 120 m juu ya UB na anwani ya kijiografia ni 45°48′N 15°58′E.
Utamaduni
[hariri | hariri chanzo]Zagreb ni kitovu cha taasisi za utamaduni wa Kroatia. Chuo kikuu kiliundwa tar. 23 Septemba 1669 ni kati ya vyuo vikuu vya kale katika Ulaya ya mashariki. Kuna pia Chuo cha Sanaa na Chuo cha Muziki.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zagreb kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |