Weather (Hali Ya Hewa Hali Ya Anga)
Weather (Hali Ya Hewa Hali Ya Anga)
Weather (Hali Ya Hewa Hali Ya Anga)
Weather
Weather [hali ya hewa; hali ya anga]
A). Weather
baridi [cold]
joto [warm]
wingu / mawingu [cloud / clouds]
mvua [rain]
rasharasha; manyunyumanyunyu [light drizzle]
upepo / pepo [wind / winds]
umeme [lightning]
radi [thunder]
ngurumo za radi [thunderstorm]
dhoruba [storm]
kimbunga / vimbunga; tufani [heavy storm / heavy storms (e.g. hurricane)]
theluji [snow]
barafu [ice]
umande [dew]
ukungu [fog]
unyefu; mvuke [humidity]
chepechepe; nyevu [moist]
halijoto [temperature]
halijoto chini [low temperature]
halijoto kali / halijoto juu [high temperature]
vipimo / viwango vya joto [measures / levels of warm temperatures]
vipimo / viwango vya baridi [measures / levels of cool temperatures]
nyota [stars]
upinde wa mvua/lindi [rainbow]
mawimbi kasi [air waves / gusts]
chamchelea [whirlwind / tornado / circling winds]
sayari [planet]
jua [sun]
mwezi [moon]
B). Msamiati zaidi wa hali ya hewa / hali ya anga
Istiwai / Ikweta [equator]
Tropiki ya Kansa [Tropic of Cancer]
Tropiki ya Kaprikoni [Tropic of Capricorn]
Grinwichi / ustiwai [Greenwich Meridian]
longitudo / mistari ya longitudo [longitude / longitude lines]
latitudo / mistari ya latitudo [latitude / latitude lines]
kupatwa kwa jua [solar eclipse]
kupatwa kwa mwezi [lunar eclipse]
C. Sayari [Planets]
i. Sayari za Ndani [Inner Solar System Planets]
Zaibaki / Zebaki [Mercury]
Zuhura [Venus]
Dunia / Ulimwengu [Earth]
Mirihi / Masi [Mars]
ii. Sayari za Nje [Outer Solar System Planets]
Jupita [Jupiter]
Zohali / Satuni [Saturn]
Kausi / Uranasi [Uranus]
Neptuni / Saratani [Neptune]
Pluto / Utaridi [Pluto]
Maelezo:
1). Sayari zilizo karibu zaidi na Dunia ni Zuhura na Mirihi.
2). Sayari kubwa kuliko zote ni mshatarii.
3). Sayari iliyo mbali zaidi ni Pluto / Utaridi.
4). Sayari iliyo na uhai na viumbe wenye uhai na ni (mbali na Dunia /
ulimwengu) ni Mirihi / Masi.
5). Sisi wanadamu / watu tunaishi katika sayari iitwayo Dunia.
6). Sayari moto, kubwa na joto ni Jua.
7). Sayari inayozunguka Dunia huitwa mwezi.
D. Kuna [There is]
Swahili expresses weather conditions as nouns and not as adjectives like English.
Avoid using English structures when expressing such conditions.
Mifano:
1. Kuna baridi. [There is cold. (It is cold.)]
2. Kuna joto. [There is heat. (It is hot.)]
3. Kuna mvua. [There is rain. (It is raining.)]
4. Hakuna baridi. [There is no cold. (It is not cold.)]
5. Hakuna joto. [There is no heat. (It is not hot.)]
6. Hakuna mvua. [There is no rain. (It is not raining.)]
Zingatia [Note]
kuna [There is...]
hali ya anga / hali ya hewa [weather conditions]
namna gani [how is (it)]
Question Formation
Mifano:
1. Hali ya anga namna gani leo?
[How is the weather condition today?]
a). Leo kuna joto jingi / sana. [Today there is a lot of heat/warmth. /
It is very hot/warm.]
b). Kuna joto jingi / sana. [There is a lot of heat/warmth. / It is
very hot/warm.]