STD Seven Exams
STD Seven Exams
STD Seven Exams
Choose the words that complete the sentences by shading the letter of the correct answer
6. Young people should be respected. The opposite of underlined word is. A) Elder B) old C) small D) short
7. They have__________ banana plantation in their shamba. A) grow B) grew C) grown D) growing E)
grows
8. Neema’s mother is a doctor. She therefore __________ sick people. A) welcomes B) carefor C) treats D)
examines E) injects
9. Maureen is _________ today than yesterday. A) happy B)happiest C) more happier D) happier E) happy
10. Aman is absent today_________ he is sick. A) even B) ever C) perhaps D) perhaped E) evered
11. There ________ no any sugar in his shop. A) are B) is C) has D) have E) had
12. The pupils chose the correct answer. What is the correct tag question for that statement.A) aren’t they B)
aren’t you C) don’t they D) didn’t they E) don’t you
13. The place ________ she lives is very dirty. A) which B) where C) who D) what E) that
14. ________ you don’t change youbehavior, you will be in trouble. A) Unless B) If C) Although D)
Inspite of E) though
15. Doreen has not written to us since January. How would this sentence read in positive form?(passive
form)______ A) we have not been written by her since January B) she has not been written by January C)
we have not been written to them since January D) January has not been written by her E) we have not
been written by January
16. Masha is in class two__________ he speaks good English. A) if B) Unless C) Although D) but E) Until
17. As Chalamanda ________ to lunch he met Aunt Rose. A) was going B) was gone C) gone D)is going E)
go
18. The lazy farmers__________ their work. A) have not did B) has not done C) have not do D) have not
done E) have did
19. You must study hard to pass with________ A) flying colors B) attentive C) brightest D) best E) happy
20. We_________ go there the day after tomorrow. A) shall B) will C)have D) would E) has
21. He peels the mangoes ________ he eats. A) but B) so C) before D) after E) during
22. Amina asked ‘’ Do you like to drink juice’’.The answer will be._______ A) yes I did B) yes I like C) Yes
I do D) Yes she does E) Yes we do
23. Our teacher has been_______ us for three hours. A) advising B) advise C) advised D) will advise E)
advises
24. They often ________ the exercise books and take them to the teacher for marking. A) collects B) collect
C) is collecting D) collected E) was collect
25. These cows belong to my parents. They are_________ A) his B) yours C) them D) theirs E) ours
26. Chicken is to hen as________ is to cow. A) piglet B) steak C) beef D) park E)mutton
27. Last Monday my father ________ ten thousand on the table. A) were put B) putting C) put D) putted E) is
putting
28. An intelligent pupil_______ all the question before answering them. A) reading B) read C) are reading D)
reads E) readed
29. Mr. Kinyero’s car________ in 1935. A) has made B) be made C) had made D) was made E) have made
30. He ran fast _______ he can win the race. A) in order to B) because C) so that D) so as to E) for that
31. That is the women________ killed the snake. A) whose B) who C) whom D) where E) which
32. Mr. komba has a daughter a son of his daughter is called a ________ A) granddaughter B) grandson C)
niece D) nephew E) uncle
33. He does not eat meat or fish. He is a_________ A) veteran B)vegetarian C) vegetation D) vegetable E)
vegetate
34. Which is the compound word among the following words________ A) special B) chicken C) popcorn D)
intelligence E) daughter
35. Choose the correct sentence.
A) Juma never is at work
B) Juma is at work never
C) Never is Juma at work
D) Juma is never at work
E) At work never Juma is.
SECTION C: COMPREHENSION: Carefully read the following passage and answer the question that
follow
Mrs. Mfula lives in Mbeya. She has lived there all her life. She lives with her husband and her three
children. She is a mother, an artist and a writer. She paints pictures and sells them in Mbeya. She paints villages
and the people who write books for children. Children like to read her books she writes in Kiswahili and
English.You can buy her books in many bookshops.
QUESTION
41. Where does Mrs Mfula live?_____________________
42. What are Mrs Mfula’s job?____________________________
43. How many children does she have?___________________
44. What does an artist do?______________________
45. What does a writer do?__________________________
THE PASSAGE
Mr. Thomas is in the police force. He collects evidence and looks it carefully.He always says, ‘’If we
want a peaceful country we need good police officers’’ A police officer who is honest and hard working will
do well. They must be intelligent and well trained. Mr. Thomas used to tell me more about his work. He
sounded very exciting. ‘’ I wanted to be a police officer when I was a little boy. I have been a police officer
for ten years. When I joined I worked in Moshi I worked as a traffic officer. After five years I did more
training now I work in Iringa. I love my job.’’
ENGLISH MARKING SCHEM
1. A
2. C
3. A
4. A
5. D
6. B
7. C
8. C
9. D
10. C
11. B
12. C
13. B
14. A
15. A
16. C
17. A
18. D
19. A
20. A
21. C
22. D
23. A
24. B
25. D
26. C
27. C
28. D
29. D
30. C
31. B
32. C
33. B
34. C
35. D
36. D
37. C
38. B
39. A
40. E
41. MBEYA
42. WRITER
43. THREE CHILDREN
44. SHE PAINTS PICTURES
45. SHE WRITES BOOKS
MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA SABA WILAYA YA IRAMBA JULY 2022 KISWAHILI
JINA LA MWANAFUNZI: _________________________________________
28. Methali inayopingana na methali isemayo “haraka haraka haina baraka” ni ipi? A: ngoja ngoja yaumiza
matumbo
B: mcheza kwao hutunzwa C: mbio za sakafuni huishia ukingoni D: mgaagaa na upwa hali wali mkavu
E: mwenda pole hajikwai
29. Mzigo wa mwenzio ni ____ methali hii hukamilishwa na;
A: kanda ya sufi B: ganda la sufi C: kasha la sufi D: godolo la sufi E: gunia la sufi
30. “Sina hali”. Nahau hii ina maana gani?_____ A: sijambo B: sijiwezi C: ninaumwa D: ninaukata E: sina jambo
31. Maneno haya yafuatayo yana maanisha kutoa rushwa isipokuwa ____
A: kupiga konde la nyuma B: kutoa mlungula C: kula kalenda D: kuzunguka mbuyu E: pita mlango wa nyuma
32. Wazee wa baraza walimtaka Makarangaamwangukie shangaziye. Maana ya neno amwangukie kama
lililovyotumika katika sentensi hii ni ipi? A: amuokoe B: amtulize C: amtunze D: amtake radhi E: amtimizie
mahitaji
33. Mlima wa wenyewe hupandwa na mwenyewe. Kitendawili hiki kina maana gani?
A: mchwa na kichuguu B: mshumaa C: mlima Kilimanjaro D: Utandu wa buibui E: taa
34. Shamba langu kubwa lakini mavuno yake kidogo sana. Maana ya kitendawili hiki ni kipi?
A; Uyoga B: Nywele C: Pamba D: Mahindi E: Manyoya
35. “Tajiri wa rangi” jibu la kitendawili hiki ni ___ A: kinyonga B: mionzi ya mvua C: mionzi ya Jua D: maji E:
mimea
SEHEMU B: UTUNGAJI Umepewa habari yenye sentensi nne (4) zilizoandikwa bila kufuata mtiririko
sahihi wa mawazo. Zipange sentensi hizo ziwe na mtiririko wenye mantiki kwa kuzipa herufi A, B, C, D na
E.
36. Alihukumiwa kifungo cha miaka thelathini gerezani..
37. Siku ya kwanza kuingia gerezani Chiku alipokelewa kwa viboko kumi na mbili.
38. Aliamua kutoa mimba ile, lakini alikamatwa kwa kosa la mauaji .
MASWALI
41. Kichwa kinachofaa katika shairi hili ni………………………………………………………………
45. Shairi hili lina mizani mingapi kwa kila mshororo? …………………………………………………
HABARI
Ulikuwa msimu wa masika wenye mvua nyingi na upepo mkali. Wanafunzi wa shule ya Msingi Zoazoa
walikuwa wanakwenda shuleni. Jina hilo lilitokana na shule hiyo kuwa kando ya mto Zoazoa. Siku
moja mto Zoazoa ulifurika. Wanafunzi walipigwa marufuku kuvuka daraja la mto huo. Mwanafunzi
mmoja aitwaye Siendeki alikuwa mkaidi alidharau na kujaribu kuvuka daraja la mto huo. Alipofika
katikati ya daraja maji yalimzidi nguvu na kumzoa kuelekea bondeni. Ilikwama katika gogo la mti wa
mbuyu lililoangukia mtoni huko bondeni. Wananchi walipokwenda kumwangalia tayari alikuwa
ameshakufa maji.
MAJIBU:
1. D
2. E
3. D
4. D
5. E
6. C
7. B
8. D
9. C
10. A
11. E
12. C
13. B
14. E
15. D
16. E
17. A
18. C
19. D
20. D
21. B
22. B
23. A
24. E
25. D
26. C
27. D
28. A
29. A
30. B
31. C
32. D
33. A
34. B
35. A
36. E
37. C
38. B
39. D
40. A
41. DAWA ZA KULEVYA
42. a
43. MBILI
44. Ni hatari kutumia, dawa hizi za kulevya
45. KUMI NA SITA
IRAMBA DISTICT COUNCIL
SUBJECT: CIVIC AND MORAL CLASS: STANDARD SEVEN TIME 1:30 hour
SECTION A Choose and shade the correct letter which is a correct answer:
1. Who is responsible for helping people who are in need?..........(a) Government and whole society
(b)Government (c) Family members (d) President of the country (e)The united Nations
2. Bathing young children, feeding sick people and visiting orphans are things which shows…………(a)
Respecting others (b) Caring others (c) collaborating with others (d) Stigmatizing others (e)
Disrespecting others
3. Which among the following act influency peace and harmony in the society……?(a) Killing albinos
(b) Creating groups to fight corruption (c) Condemning evils (d) Planting trees (e)
Extremepoaching
4. When Amina completed to cook some food in order to eat with her relatives she discovered that her
relatives were playing very far. What was Amina supposed to do after that……… (a) Eating all the
food (b) Keeping the food in a refrigerator (c) Throw away the food (d) Feed the dog (e) Keeping
food in hot container
5. Masanja is 11 years old he always makes brick so that he can get some money to parches his school
needs. Masanja’s situation is called …………… (a) Domestic violence (b) Childhood marriage (c) Child
abuse (d) Child Employment (e) Heavy punishment
6. Oliver and enoch are friends one day oliver was charged for theft butEnoch did not break their
friendship. What kind of behavior Enoch show……..(a)Self –confidence (b) Selfishness (c) Thieft (d)
Honesty e) Hypocrisy
7. It was little raining on Monday what should the tolerancy standard six pupil do…….. (a) Playing in
the rain (b) Taking an umbrella and go to class (c) Watching cartoons at home (d) Sitting on sun (e)
Stay at home
8. Which among the following acts shows bad use of family wealthy………(a) Ironing clothes by using
electric iron (b) To wash dishes after use (c) Boilling water with electric jug (d) Weeding with hand
hoe (e) Help your self out ot the shower
9. Teacher Mwambene was teacher on duty last week he was responsible on ………… (a) Rewarding
pupils (b) Preparing school time table (c) Electing the head prefect (d) To record pupils attendency
(e) To cook for pupils
10. The following are the efforts that should be taken toa pupil who failed the exams in order
toimprove academicperformance EXCEPT … (a) Ignoring studying periods (b to have the studying
time table (c) Asking questions to teachers (d)Doing corrections(e) Attending lessons
11. Who among the following leaders do not have integrity in leadership ……..(a) Who share with
others in decision making (b) Who spend money in a good way (c) a God fearing man (d) Proud of
his Authority (e) Not selfish and care about others
12. Which of the following is a behavior that can not be tolerable in our society ……..(a) Laughing at the
blind(b)Democratic debate (c) Male circumcision (d) Jogging (e) Drinking enough water
13. Among the following is joyfull event ……… (a) Funeral (b) Funeral greetings (c) Graduation (d)
Visiting the sick people (e) Death memorial
14. The health risk that can affect us if we engage in sexual activity in child hood ……… (a) Poor
academic perfomancy (b) Catching sexual transmited disease (c) Dropping out school (d) To be
health (e) Extremly absentees
15. Which of the following list is immoral clothing in a civilized society…………? (a) Jacket, white skirt
and blouse (b) Transparent dress, tight skirt and ripped blouse (c) Khanga, hijab and trouser (d)
Sweater, blanket and bed sheet (e) Scafs, long dress and long hand blouse
16. The following are actions that do not publicize our nation EXCEPT ……….. (a) Depend on help from
other countries (b) Winning the international match (c) Impresoning the opposition party leaders
(d) Dispublicize tourism (e) To use black money
17. Mwalimu Nyerere memorial goes together with ………. (a) slaughtering of elephant (b) The peak of
uhuru torch racing (c) Death of solders (d) Union feast (e) Feast of heroes
18. The head leader of goverment in ward is ………. (a) Ward councilor (b) Ward education coordinator
(c) Ward health officer (d) Ward executive officer (e) Ward council
19. An administrative area made up of no more than 50 house hold in an urban area is called ………. (a)
City (b) Local (c) Village (d) neighbour hood (e) Divicion
20. A body that runs the day to day activities of the village government is called ……… (a) Village council
(b) Village executive officer (c) Village chair person (d) Village general assembly (e) Village
committee
21. The following are the ways to be adhered to when nurturing people under age of 18 ………… (a)
Taking them to luxury places (b) Carring them (c) Pamperting them (d) Taking them to school (e)
Rebuking them
22. Which of the following problems may be caused by stress? ………. (a) Increasing in weight (b) Heat
burn (c) Reading book (d) Alcoholism (e) Malaria fever
23. Laws are enacted and are put into action after being signed by?............. (a) Speaker of partiament (b)
President (c) Chief justice (d) Affoney general (e) principal judge
24. How can you live well with people in the society with different culture?............ (a) Knowing their
customs and Traditions (b) respecting their culture (c) Knowing their language (d) Teaching them
your own culture (e) Teaching them mother language
25. The interconnectedness of various places in the world that makes the world as a village is called …
(a) Globalization (b) Global warming (c) Relationship (d) Democracy (e) Multipartism
26. The big challenge which faces to small and medium entrepreneurs is? ………. (a) Poor
communication (b) Lack of capital (c) Point market (d) Shortage of rain (e) Drought
27. The following are the pillars of democracy EXCEPT …………(a)Rule of law(b)Human right(c)
Multpartism(d)Transparent and accountability (e) Privatization
28. The correct name given to wild life hunters without government permission is ……..(a) Hunters (b)
Game reserves (c) Killers (d) Park rangers (e) Poachers
29. The national flag, national anthem, precidential flag and the freedom torch are components of (a)
National values (b) Symbols of country (c) Culture of the country (d) Slogan of the country (e)
National tressure
30. Which among the following is not the school’s slogans…………?(a) Education and work (b) Accident
at the road (c) Discipline for academic excellence (d) Education is a resources (e) Education is the
key of life
31. Why do we apply theoretical knowledge into practice………? (a) To prove their truthfulness of
phenomena (b) To show their difference (c) To make them acceptable internationally (d) To
determine the unacceptable (e) Under estimate them
32. The following leaders are appointed by the president of the united republic of Tanzania
EXCEPT……………. (a) Reginal commissioner (b) General secretary (c) Prime minister(d) president
of Zanzibar (e) Attony generally
33. The highest level of court in Tanzania is …… (a) Resident magist rate court (b) District court(c)
Appellate court (d) court of first instant (e) High court
34. Which of the following are the effects of engaging in risky behavior………? (a) Having health
problem (b) Doing work fluently (c) Collaborating with friends (d) Improving the body (e) Getting
respect from the community
35. How you can help a classmate who has habit to arguing with your friends …………. (a) To separate
from him (b) To sue to class teacher (c) To sue to his/ her parents (d) Scraming at them
(e)Enganging pupils to talk to him
36. How are you increasing efficiency in learning…………? (a) To carry a lot of books (b) To read in
groups (c) To do examinations (d) To play with others (e) Not to attend in class.
37. Which among the following is an act that destroy relationship between people ……(a)To talk the
truth(b)Ingratitude to others(c)To warn others (d)Hard working(e) Responsible for others
38. Swahili language has built relationship with other nations in the following sectors EXCEPT ………….
(a) Destory cooperation (b) Tourism and culture in Tanzania (c) Domestic trade in country (d)
International trade out side (e) International tournament and sports
39. He can implement what he has studied if …………….(a) He pass the examinations (b) He teach others
(c) He use it in a daily life (e) He discriminate others
40. The following are organizations dealing with adherence and depending human right EXCEPT … (a)
Mass media (b) BAKITA (c) Partiament of Tanzania (d) Constution (e) Gender networking of
Tanzania
SECTION B ANSWER ALL QESTION S
41. …………Are the social and cultural relationship that are considered division of labour basing on
gender
42. Population sensa are conducted after how many years ………………………
43. Southern Africa development community was established on …………………
44. In a national emblem which symbol represent fertile soil of Tanzania
45. What are supposed to do in the following situation
(a) When we do mistakes to others unknowingly
(b) When other people do mistakes to us unwillingly
HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA
MTIHANI WA NUSU MUHULA JUNI 2022
SOMO: URAIA NA MAADILI DARASA: VII MUDA: SAA 1:30 SEHEMU
JINA:…………………………………………………..
A: Chagua herufi ya jibu sahihi.
1. Je, ni nani mwenye jukumu la kuwasaidia watu wenye uhitaji? ____ A. serikali na watu wote katika jamii
B. serikali pekee C. wanafamilia husika tu D. Rais wananchi E. umoja wa mataifa [ ]
2. Kuogesha watoto wadogo, kuwalisha, wagonjwa na kuwatembelea yatima ni matendo yanayoonesha:__
A. Kuheshimu wengine B. Kuwajali wengine C.Ushirikiano na wengine D. Kunyanyapaa wengine E.
Kutoheshimu watu [ ]
3. Lipi kati ya matendo yafuatayo humasisha amani na utulivu katika jamii zetu? ___ A. Kuwaua albino C.
Kuunda klabu za kupambana na rushwa C. Kulaani maovu D. Kupanda miti E. Ujangili ulio kithiri [ ]
4. Amina alipomaliza kupika chakula ili ale na ndugu zake, aligundua kuwa ndugu walikuwa wakicheza
mbali sana. Je, alipaswa kufanya kipi kati ya hivi? _______ A. Kula chakula chote B. Kuweka chakula
kwenye jokofu ili kipoe C. Kumwaga chakula chote D. Kuwalisha mbwa chakula chote E. Kuhifadhi
kwenye vyombo vya moto
5. Masanja ana umri wa miaka 11. Mara nyingi hufyatua matofali ili kujipatia fedha za kununua mahitaji ya
shule. Hali ya Masanja inaitwa: ______ A. Ghasia za nyumbani B. Ndoa za utotoni C. Unyanyasaji wa
mtoto D. Ajira za utotoni E. Adhabu kali [ ]
6. Olivier na Enoch ni marafiki. Siku moja Olivier alishitakiwa kwa wizi lakini Enoch hakuvunja urafiki
wao. Ni tabia gani inaoneshwa na Enoch? ____A. Kujiamini B. Ubinafsi C. Wizi D. Uaminifu E. Unafiki
[]
7. Jumatatu kulikuwa na manyunyu. Kipi kilipaswa kufanywa na mwanafunzi mstahimilivu wa darasa la
VI? __ A. Kucheza kwenye mvua B. Kuchukua mwavuli na kwenda darasani C. Kungalia katuni
nyumbani D. Kuota jua E. Kubaki nyumbani [ ]
8. Lipi kati ya matendo yafuatayo huonesha matumizi mabaya ya rasilimali za familia? __ A. Kunyoosha
nguo kwa kutumia pasi la umeme B. Kuosha vyombo baada ya kutumia C. Kuchemsha maji kwa kutumia
jagi la umeme D. Kupalilia kwa jembe la mkono E. Kujisaidia nje ya maliwato [ ]
9. Mwalimu Mwambene alikuwa mwalimu wa zamu wiki iliyopita. Aliwajibika katika moja ya majukumu
yafuatayo: ___ A. Kutunuku wanafunzi B. Kuandaa ratiba ya vipindi shuleni C. Kumteua kiranja mkuu
D. Kurekodi mahudhurio ya wanafunzi E. Kuwapikia wanafunzi [ ]
10. Zifuatazo ni jitihada zitakazochukuliwa na mwanafunzi aliyefeli mitihani ili kuboresha ufaulu
ISIPOKUWA: _ A. Kupuuzia vikundi vya kujisomea B. Kuwa na ratiba ya kujisomea C. Kuwauliza
walimu maswali D. Kufanya masahihisho E. Kuhudhuria vipindi [ ]
11. Yupi kati ya viongozi wafuatao anakosa sifa ya uadilifu katika uongozi? ____ A. Anaye washirikisha
wengine katika maamuzi B. Anayetumia fedha kwa usahihi C. Mwenye hofu ya Mungu D. Mwenye
kuona fahari kwa madaraka yake E. Asiye mbinafsi na anayejali wengine [ ]
12. Ipi kati ya zifuatazo ni tabia isiyovumilika katika jamii yetu? ____ A. Kuwacheka vipofu B. Midahalo ya
kidemokrasia C. Tohara kwa wavulana D. Kukimbia mchakamchaka E. Kunywa maji yakutosha [ ]
13. Moja ya yafuatayo ni tukio la kufurahisha: ____ A. Mazishi B. Salamu za rambirambi C. Mahafali D.
Kutembelea wagonjwa E. Kumbukizi ya kifo [ ]
14. Hatari ya kiafya inayoweza kutukumba kama tukijihusisha na mahusiano ya kingono utoto nini: ___ A.
Maendeleo duni kitaaluma B. Kuambukizwa magonjwa ya zinaa C. Kuacha shule D. Kuwa na afya
njema E. Utoro uliokithiri [ ]
15. Ipi kati ya orodha zifuatazo ni nguo zisizo na maadili katika jamii iliyostaarabika?__ A. Koti, sketi
nyeupe na blauzi B. Gauni angavu, sketi ya kubana na blauzi iliyochanika C. Kanga, hijabu na suruali D.
Sweta, blanketi na mashuka E. Matandiko, magauni marefu na blauzi za mikono mirefu [
16. Yafuatayo ni matendo yasiyolitangaza taifa letu ISIPOKUWA: ___ A. Kutegemea misaada kutoka nje B.
Kushinda mechi za kimataifa C. Kuwafunga jela viongozi wa upinzani D. Kutohamasisha utaliiE.
Kutumia fedha bandia [ ]
17. Kumbukumbu ya kifo cha Mwl. Nyerere huenda sambamba na: ___ A. Kuchinja tembo B. Kilele cha
mbio za mwenge wa Uhuru C. Vifo vya wanajeshi D. Sikukuu ya Muungano E. Sikukuu ya mashujaa [ ]
18. Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali katika ngazi ya kata ni: ____A. Diwani B. Mratibu elimu kata
C. Ofisa afya wa kata D. Afisa mtendaji kata E. Baraza la kata []
19. Eneo la kiutawala linaloundwa na kaya zisizozidi 50 katika mandhari ya mjini huitwa: ____ A. Mji B.
Mtaa C. Kijiji D. Kitongoji E. Tarafa [ ]
20. Chombo kinachofanya kazi za kila siku za serikali ya kijiji huitwa: ____ A. Baraza la kijiji B. Afisa
mtendaji wa kijiji C. Mwenyekiti wa kijiji D. Mkutano mkuu wa kijiji E. Kamati za kijiji [ ]
21. Ifuatayo ni njia inayopaswa kutumika kuwalea watu wenye umri chini ya miaka 18: ___ A. Kuwapeleka
kumbi za starehe B. Kuwapakata C. Kuwadekeza D. Kuwapeleka shuleni E. Kuwafokea [ ]
22. Lipi kati ya matatizo yafuatayo linaweza kusababishwa na msongo wa mawazo? ___ A. Kuongezeka
uzito B. Kiungulia C. Kusoma vitabu D. Ulevi E. Homa ya Malaria [ ]
23. Sheria hutungwa na huanza kutumika mara tu baada ya kutiwa saini na _____ A. Spika wa BungeB. Rais
C. Jaji mkuu wa Tanzania D. Mwanasheria mkuu wa Serikali E. Jaji kiongozi wa Tanzania [ ]
24. Utawezaje kuishi vyema na watu wa jamii na asili tofauti? ___ A. kufahamu mila na desturi zao B.
kuheshimu utamaduni wao C. kufahamu lugha zao D. kuwafundisha utamaduni wetu E. kuwafundisha
lugha za asili [ ]
25. Mfumo wa muunganiko wa sehemu mbalimbali za dunia unaofanya dunia ionekane kama kijiji unaitwa:
__ A. Utandawazi B. Ongezeko la joto duniani C. Uhusiano D. Demokrasia E. Mfumo wa vyama vingi
[]
26. Changamoto kuu inayowakumba wajasiriamali wadogo na wa kati ni: ____ A. Mawasiliano duni B.
Ukosefu wa mtaji C. Soko la uhakika D. Uhaba wa mvua E. Ukame [ ]
27. Ifuatayo ni misingi ya demokrasia ISIPOKUWA ____ A. Utawala wa sheria B. Haki za binadamu C.
Vyama vingi vya siasa D. Uwazi na uwajibikaji E. Ubinafsishaji [ ]
28. Jina sahihi wanalopewa watu wanaowinda wanyama pori bila idhini ya serikali ni: ____ A. Wawindaji B.
Pori la akiba C. Wauaji D. Watunza hifadhi E. Majangili [ ]
29. Bendera ya taifa, nembo, bendera ya Rais na Mwenge wa Uhuru ni baadhi ya: ____ A. Tunu za taifa B.
Alama za taifa C. Utamaduni wa taifa D. Kauli mbiu ya taifa E. Fahari za taifa [ ]
30. Ipi kati ya zifuatazo si mfano wa kaulimbiu ya shule? ____ A. elimu na kazi B. ajali kazini C. nidhamu
kwa taaluma bora D. elimu ni rasilimali E. elimu ni ufunguo wa maisha [ ]
31. Kwa nini tunajaribu nadharia mbalimbali kwa vitendo? ____ A. kuthibitisha ukweli wake B.
kuzitofautisha C. kuzifanya ziweze kukubalika kimataifa D. kubaini zisizofaa E. ili kuzidunisha [ ]
32. Viongozi wafuatao huteuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ISIPOKUWA _______ A.
Wakuu wa Mikoa B. Katibu mkuu C. Waziri mkuu D. Rais wa Zanzibar E. Mwanasheria mkuu wa
Serikali
33. Ngazi ya juu ya Mahakama nchini Tanzania ni ___ A. Mahakama ya Hakimu Mkazi B. Mahakama ya
Wilaya C. Mahakama ya Mwanzo D. Mahakama ya Rufaa E. Mahakama Kuu [ ]
34. Ipi kati ya zifuatazo ni hasara anayoweza kupata mtu anayejihusisha na tabia hatarishi? _____ A. kupata
madhara ya kiafya B. kupata heshima kwa jamii C. kufanya kazi kwa ufasaha D. kushirikiana na marafiki
E. kuboresha mwili [ ]
35. Utamsaidiaje mwanafunzi mwenzako mwenye tabia ya kugombana na rafiki zako? ____ A. kujitenga
naye B. kumshitaki kwa mwalimu wa darasa C. kumshitaki kwa wazazi wake D. kumzomea E.
kushirikisha wanafunzi kumkanya [ ]
36. Unawezaje kuongeza ufanisi katika kujifunza? ____ A. kubeba vitabu vingi B. kusoma kwa vikundi C.
kufanya mtihani D. kucheza na wenzako E. kutohudhuria darasani [ ]
37. Kipi kati ya vifuatavyo ni kitendo kinachoharibu uhusiano baina ya watu? ____ A. kusema ukweli B.
kutothamini wengine C. kuwaonya wengine D. kufanya kazi kwa bidii E. kuwajibika kwa wengine [ ]
38. Lugha ya Kiswahili imejenga uhusiano na mataifa mengine katika Nyanja zifuatazo ISIPOKUWA ___ A.
kuharibu ushirikiano B. utalii na utamaduni wa kitanzania C. biashara za ndani ya nchi D. biashara za nje
ya nchi E. michezo ya kimataifa [ ]
39. Tunaweza kuthibitisha mambo tuliyojifunza iwapo _____ A. tutafaulu katika mitihani B.tutaeleza
wengine C. tutayatumia katika maisha yetu D. tutayakariri E. tuwanyanyasa wengine [ ]
40. Vifuatavyo ni vyombo vyenye mamlaka ya kudai na kutetea haki za binadamu ISIPOKUWA ____ A.
Katiba ya nchi B. Vyombo vya Habari C. Baraza la Kiswahili Tanzania D. Bunge la Tanzania E.
Mtandao wa Jinsia Tanzania [ ]
1. A
2. B
3. B
4. E
5. D
6. D
7. B
8. E
9. D
10. A
11. D
12. A
13. C
14. B
15. B
16. B
17. B
18. D
19. B
20. E
21. D
22. D
23. B
24. B
25. A
26. B
27. E
28. E
29. B
30. B
31. A
32. D
33. D
34. A
35. E
36. B
37. B
38. A
39. C
40. C
41. Jinsia/Gender
42. Kumi/Ten (10)
43. 17/8/1992
44. Rangi nyekundu/Red colour
45. (i) Kuomba msamaha/To apologize
(ii) Kusamehe/To forgive them
HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA WA KWANZA JULY 2022
DARASA LA SABA : SOMO : SAYANSI
1. Kifua kikuu na uti wa mgongo ni moja wapo ya magonjwa yanayo ambukizwa kwa njia ya: A) hewa
B) maji C) vyakulaD) Mavazi E) inzi ( )
2. Joto husafiri kwenye vitu vyenye asili ya chuma kwa njia ya: A) msafara
B) mpitisho C) mnururisho D) moja kwa moja E) mvukizo( )
3. Maji huganda katika nyuzi joto ___ A) 1000C au 2120F B) 350C au 950F C) 00C au 320F D) 400C au
1040F E) 00C au 00F( )
4. Kipi kati ya vifuatavyo ni chanzo kikuu cha nishati? A) jua B) radiC) nyota
D) moto E) mafuta( )
5. Mahitaji muhimu kwa uhai wa viumbe ni _____ A) maji na hewaB) chakula na joto C) hewa, maji na
chakula D) mwanga na mvua E) chakual, mavazi na malazi( )
6. Mwili wa binadamu mtu mzima una jumla ya mifupa ipatayo A) 206B) 72 C) 300 D) 24 E) 144( )
7. Samaki huishi majini tu. Hawezi kuishi nchi kavu. Hii ni kwa sababu hawezi
A) kutembea B) kuruka C) kupumua D) kusikiaE) kuogelea( )
8. Kitendo cha mmea hujitengenezea chakula chake hujulikana kama
A) umbijani B) usanisinuru C) uyeyushaji D) uchavushaji E) osmosis( )
9. Baada ya kupukutisha majani mimea kwa kipindi hicho hupumua kwa kutumia _____ A) stomata B)
stomata shina C) vidumazi D) spirako E) haipumui( )
10. Maada ipi kati ya zifuatazo inaweza kupatikana katika hali zote tatu za maada A) mshumaa B) maji
C) chuma D) chumvi E) aside( )
11. Katika ua mdudu hufuata nini _____________ A) petali B) sepaliC) stigma
D) mbochi E) stameni( )
12. Umuhimu wa mimea aina ya mikunde shambani ni katika kusaidia kurutubisha udongo kwa kutumia
hewa ya: A) naitrojeni B) haidrojeni C) oksijeni D) kabondioksaidi E) aside( )
13. Ili kuondoa chumvi katika maji, tendo lipi kati ya yafuatayo huwa ni lazima kufanyika? A)
kutonesha B) kuchemsha C) kuvukizaD) Kugandisha E) kuyeyusha (
14. Vizio vya umeme ni ___ A) waya, betri na ampia B) ohm, volti na ampia C) joule, betri na amita D)
ukinzani, amita na voltimita E) amita, ampia na betri( )
15. Katika mmea wa mhindi, punje ya mhindi ni sehemu ya pistili iitwayo:
A) mbegu B) tunda C) stigma D) kikonyo E) staili.( )
16. Kuungua kwa mshumaa ni badiliko la A) kikemikali B) kiumbo
C) kimakanika D) kisayansi E) kiufundi( )
17. Mfupa unaounganisha bega na kidali huitwa ____ A) mvundi B) trauma C) chafu D) mikano E)
mtulinga( )
18. Upi ni mfululizo sahihi katika ukuaji wa mende? A) mayai, lava, tunutu, mende B) lava, mayai,
mende, tunutu, C) mayai, tunutu, tunutu, mende D) mende, mayai, lava, tunutu. E) tunutu, mende,
mayai, lava( ).
19. Setlaiti ya asili ni ipi kati ya zifuatazo?
A) jua B) mwezi C) nyota D sayari) E)gimbi ( )
20. Taasisi inayoelimisha watu kuhusu huduma ya kwanza kwa wagonjwa ni A) idara ya zimamoto B)
ANGAZA C) UMATI D) Msalaba Mwekundu E)kikundi cha madaktari( )
21. Ni kiambata gani cha damu ambacho hupambana na magonjwa
A) chembe nyeupe B) chembe sahani C) plasma D) chembe nyekundu E) sifongo( )
22. Baada ya wanafunzi 60 wa darasa la saba shule ya msingi Kibada kusukuma ukuta kwa dakika 10,
walitoka jasho na kuchoka sana, bila ukuta huo kusogea. Kazi iliyofanyika ilikuwa ni: A) 600W B) 4.5 J
C) 0J D) 600J E) 4.5 J( )
23. Ukimchunguza bata utaona miguu yake ni tofauti na ya kuku. Miguu ya bata humwezesha A) kuruka
kwa kasi zaidi kuliko kuku B)kutembea kwa madaha kuliko kuku C) kuparuaparua anapotafuta chakula
majini D) kuogelea majini kuliko kuku E) kusogeza mayai yake pamoja anapoatamia( )
24. Jua hupatwa mchana. Tukio hili katika mwanga hudhihirisha ________
A) kupinda kwa mwanga kutoka media moja hadi nyingine B) unyoofu wa mstari wa mwanga katika
safari yake C) mwezi kuwa katikati ya jua na dunia D) dunia kuwa katikati ya dunia na mwezi E) mwezi
ni mdogo zaidi kuliko jua( )
25. Takamwili ya kabondayoksaidi hutolewa na; A) pua B) mapafu C) moyo D) damu E) insulin( )
26. Kijusi hupata chakula na hewa kikiwa ndani ya tumbo la mama kupitia:
A) plasenta B) uterasi C) mirija ya falopia D) ovari E) kelenge
27. Ni mdudu yupi hupitia hatua za ukuaji za metamofosisi kamili? A) panzi B) mende C) inzi D)
nzigeE)kobe ( )
28. Joto husafiri kwenye hewa kwa njia ya; A) mnunurisho B) msafara
C) mpitisho D) mwendo E)mwanga ( )
29. Nini matokeo ya dunia kulizunguka jua kwa muda wa siku 3651/4?
A) majira mbalimba ya mwaka B) usiku na mchana C) kupatwa kwa mwezi
D) kupwa na kujaa kwa maji baharini E)mwenzi kubanwa ( )
30. Filamu katika kamera ni sawa na __ katika jicho. A) irisi B) pupili C) lenzi D) retina E)nyusi ( )
31. Eneo linaloathirika na nguvu ya kipande cha sumaku huitwa ____.A)unga wa sumaku B)usumaku
C)magneti pekee D)magneti ya sumaku E)kusumakiza ( )
32. Uwepo wa _______ katika aina fulani ya chakula unaweza kubainishwa kwa kutumia madini ya
joto.A)fati B)kabohaidreti C)protini D)vitamin E)hakuna jibu ( )
33. Neva zinazotoa taarifa kutoka kweye ubongo kupeleka sehemu nyingine mwilini huitwa
________.A)neva sensori B)neva mota C)neva nyuroni D)neva ya akaustiki E)neva pizani ( )
34. Wanyama huvuta hewa ya oksijeni ambayo hutoka kwenye mimea na mimea hutumia hewa ya
_____ kujitengenezea chakula chake ambayo hutoka kwa wanyama.A)kabonidaioksaidi B)oksijeni
C)haidrojeni D)nitrojeni E)nitriti ( )
35. Filamu katika kamera inafanya kazi kama _________ katika jicho la binadamu.A)pupili B)korinea
C)retina D)irisiE)nyusi ( )
36. Alama hii huonyesha nini? _______________________
A)ukinzani B)fyuzi C)swichi D)waya E)ampia( )
37. Kokotoa kiasi cha ukinzani (R) katika sakiti hii:
38. Katika wenzo ufuatao, tafuta thamani ya X A)kg 14 B)kg 16 C)sm 8 D)kg 8E)20kg ( )
39. Kamilisha mchakato huu: A inawakilisha nini?__ A)hewa B)maji C)kutu D)oksijeniE)chuma( )
40. Kitendo cha kukua kwa mmea kama ilivyooneshwa kwenye kielelezo hiki hujulikana kama
_________. A)haidrotropizimu B)fototropizimu C)kemotropizimu D)prizimuE)umeme ( )
TUMIA MCHORO HUU KUJIBU SWALI 41 – 45
1. A 42.INI
2. B 43.F
3. C 44.TUMBO
4. A 45.KONGOSHO
5. C
6. A
7. C
8. B
9. B
10. B
11. D
12. A
13. B
14. B
15. B
16. B
17. E
18. A
19. B
20. D
21. A
22. C
23. D
24. C
25. B
26. A
27. A
28. A
29. A
30. A
31. D
32. D
33. B
34. A
35. C
36. C
37. C
38. D
39. D
40. B
41. MKUNDU
IRAMBA DISTRICT COUNCIL
2. Heat travels to objects of iron origin through: A) caravan B) transmission C) radiation D) direct E) evaporation
( )
3. Man freezes at temeratures A) 1000C or 212F B) 35C or 95F C) 00 or 32F D) 40C or 104F
E ) 0C or OF ( )
4. Which of the following is the main source of energy? A) Sun B) thunder C) star D) fire
E) fuel ( )
5. The essential requirements for the life of an organism are. A) water and air B) food and heat C) air, water and
food D) light and rain E) food, clothing and shelter. ( )
6. The adult human body has a total number of bones A) 206 B) 72 C) 300 D) 24 E) 144 ( )
7. Fish live only in water. He cannot live on dry land. This is because he cannot A) walk B) jump C) breathe D)
hear E) swim ( )
8. The action of the plant makes its own food is known as A) compound B) photosynthesis C) digestion D)
pollination E) osmosis ( )
9 After fertilization The leaves of the plants for that period breathe using A) stomata B) stem stomata C) stem
D) spirako E) does not breathe ( )
10. Which of the Following substances can be found in the state all three of the elements A) candle B) water C)
iron D) salt E) acid
11. What Bed follows in the flower? A) petals B) sepali C) stigma D) mbochi E) stam ( )
12. The importance of legumes in the field is in helping to fertilize the soil using air of:
13. Which of the following action is necessary to remove salt from water A) cooling B) boiling C) evaporating D)
Freezing E) melting ( )
14. Electrical outlets are A) wires, batteries and ampia B) ohm, volts and ampia C) joule. battery and ammeter D)
resistance, meter and volt E) amiter ( )
15. In the maize plant, the corn kernel is part of a pistol called A)seed B)fruit C)stigma D)Filament E)Sepal ( )
16. The burning of the candle is a change A) chemical B) structure C) mechanically D) scientific E) technical (
17. The bone that connects the shoulder to the medal is called. A) rot B) trauma C)
18. Which is the right series in beetle growth? A) eggs, tunutu, beetle B) lava, beetle, beetles, C) beetles,
beetles, beetles D) beetles, eggs E) tunutu, beetle,egg,l lava
19. What is the natural satellite? A) sun B) moon C) star D) planet E) earth ( )
20 The Institute that educates people about first aid for patients is A) fire department B) LIGHT C) CROWD D)
The Red Cross E)doctor‘s group( )
21 Which blood component fights diseases? A) white particle B) plate particle C) plasma D) red particle E)
sponge ( )
22. After 60 seventh pupils at Kibada Primary School pushed the wall for 10 minutes, they were sweating and
very tired, without the wall moving. The work done was: A) 600W B) 4.5J C) 0J D) 600J E) 4.6 J ( )
23. If you look at the duck you will see that its legs are different from those of chicken. The duck’s legs enable it
to A) fly fast B) walks by dancing C) scurrying for food in the water D) swim in the water rather than hen E)
moving her eggs together when she sees ( )
24. The sun is shining during the day. This phenomenon in light manifests A) the transition of light from one
media to another B) the straightness of the light line in its journey C) the moon being between the sun and the
earth D) the earth being between the earth and the moon E ) the moon is less than sun
25. Carbon dioxide is secreted by: A) nose B) lungs C) heart D) blood E) insulin ( )
26. Fetus gets food and air in the mother's womb through A) placenta B) uterus C) fallopian tubes D) ovaries E)
shell ( )
27. Which insect undergoes growth stages of complete metamorphosis? A) grasshoppers B) beetles C) fly D)
locusts E)torties( )
28. Heat travels in the air through: A) radiation B) caravan C) passage D) motion E)light ( )
29. What effect does the earth have around the sun for 3651/4 days A ) various seasons of the year B) night
and day C) lunar eclipses D) eclipses and floods in the sea E)moon trap ( )
30. The film in the camera is the same as in the eye. A) Irish B) Pupil C) Lens D) Retina E)lesh( )
31. The area affected by the strength of the magnetic piece is called____A) magnetic dust B) magnetism C)
magnet only D) magnet field E)magnefying ( )
32. The presence ___________ in a particular type of food can be identified by using warm minerals. A)fat
B)carbohydrate C) protein D)vitaminE)none( )
33. The nerves that transmit information from the brain to other parts of the body is___A)sensory nerve
B)motor nerve C)neuron nerve D)acoustic nerveE)resintence nerve ( )
34 Animals absorb oxygen from the plant and plants make their own food by using _______ that comes from
animals. A)cabondioxide B)oxygen C)hydrogen D)nitrojen E)Nitreti ( )
35. The film in the camera works like ________ a human being in the eye. A)pupil
B)cornel C)retina D)iris E)Ieshes ( )
36. What do these symbols indicate? _______________A) resistance B)fuse C) switch D)wire E)ampia ( )
A) Kg 14 B) Kg 16 C) Sm 8 D) Kg E)90 ( )
39. Complete this process: What does A represent? A) air B)water C)rust D)oxygen[ E] iron
LIGHT
1.A
2..B
3.C
4.A
5.C
6.A
7.C
8.B
9.B
10.B
11.D
12.A
13.B
14.B
15.B
16.B
17.E
18.A
19.B
20.D
21.A
22.C
23.D
24.C
25.B
26.A
27.A
28.A
29.A
30.A
31.D
32.D
33.B
34.A
35.C
36.C
37.C
38.D
39.D
40.B
41.ANUS
42.LIVER
43.F
44.STOMACH
45..PANCREASE
1. Zengo alichagua wanafunzi watano A,B,C,D na E waandike jumla ya namba tasa zilizokati ya 1 na
10. Nani alipata jibu sahihi?
(a)17 (b) 35 (b)34 (d)25 (e)26
2. Tafuta tofauti kati ya 7102 na 2967
(a)9969 (b)4035 (c)4135 (d)41472 (e)2967
3.Wanakijiji walichanga jumla ya sh.325,500 kwaajili ya ujenzi wa choo cha zahanati .ikiwa kila
mwanakijiji alichangia sh. 500, je walichangia wanakijiji wangapi?
(a) 6051 (b) 651 (c) 325,500 (d) 6501 (e) 32600
4. Kati ya namba zifuatazo ipi ni namba ndogo?
(a) -1 (b)-28 (c) 0 (d)1 (e) 2
5. Andika namba kubwa katika namba hizi 8,2,9,0,6,4
(A) 984620 (b) 986240 (c) 908642 (d) 98649 (e) 986420
6. Nini tofauti kati ya 10⅔ na 35/7?
(a) 620/21 (b )520/21 (c) 13 20/21 (d) 720/21 (e) 4 19/20
7. Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961, Ambapo aneth alikuwa na umri wamiaka 2. Je, alikuwa na
umri gani 2021? (jibu liwe katika namba za kurumi)
(a) LIX (b) LXI (c) XLI (d) LXII (e) XLIX
8. Kuna 0.6 ngapi kwenye 14/5 ?
(a) 50 (b) 2 (c) 2 (c) 5 (d)20 (e) 500
9. Nini jumla ya 134.7 na 42.467?
(a) 177.167 (b) 176.67 (c) 177.617 (d) 176.716 (e) 175.617
10.Nini tofauti kati ya 9.4096 na 2.39?
(a) 6.0196 (b)7.0196 (c) 7.01 (d) 7.1609 (e) 7.9016
11. Nini zao la 0.84 na 0.012?
(a) 0.108 (b) 0.01008 (c) 0.1108 (d) 0.018 (e) 0.008
12. Tafuta hisa ya 10.89 na 0.33
(a) 33 (b) 330 (c) 400 (d) 412 (e) 300
13.Badili 31/2% sehemu rahisi
(a)11/30 (b)1 1/30 (c)3 ⅓ (d) 10/3 (e) 1/30
14.Badili 0.076 kuwa sehemu rahisi
(a)19/250 (b) 76/1000 (c) 18/250 (d) 119/200 (e) 119/20
15. Badili 1⅛ kuwa asilimia
(a) 100½ (b) 120% (c) 112½% (d)112% (e) 110%
16.Mwalimu aliwaambia wanafunzi watafute thamani ya 8- (-3+8). Lipi ni jibu sahihi?
(a)-3 (b) +19 (c) +13 (d)+3 (e)-13
17. Zidisha km72, m850 kwa 3
(a) km 216 na m 2550 (b) km 218 na m550 (c)km 241 na m50 (d)km217 (e)m 1550
18. Tafuta kigawe kidogo cha shirika cha 25,30, na 50
(a) 100 (b) 250 (c) 150 (d) 200 (e)125
19. Nini kigawo kikubwa cha shirika cha 16, 8, na 22?
(a) 4 (b) 8 (c)2 (d) 10 (e) 6
20. Zipi ni namba witiri kati ya 53 na 70?
(a)59,61,63 na 65 (b) 61,63,na 69 (c) 59, 63 na 67 (d)59,61 na 67 (e) 60, 63 na 67, na 69
21. Kuna namba tasa ngapi kati ya 116 na 125?
(a) 3 (b) 4 (c) 2 (d) 5 (e)1
22. Nini jumla ya namba sufwa kati ya 48 na 56?
(a) 54 (b) 56 (c) 104 (d) 158 (e) 160
23. Ikiwa m=3,n=6 tafuta thamani ya mn2+m2n
mn-n
B 3x-30 C
98°
n
(a) n=160° (b) n=139° (c) n=159° (d) n=149° (e) n=75°
34. Tafuta eneo la pembetatu yenye kitako sm6 na kimo sm 13
(a) Sm60 (b) sm45 (c) sm 30 (d) sm50 (e)sm 32.5
70° w 50°
(a) 45° (b) 55° (c) 25° (d) 60° (e) 35°
37. Tafuta thamani ya X ikiwa x+⅛=1.375
(a)1.5 (b) 1.25 (c) 12.50 (d) 125.0 (e) 3.175
38. Bei ya redio dukani baada ya punguzo la asilimia 15% ni shilingi 2550/=, tafuta bei ya redio kabla
ya punguzo
(a) Sh600 (b)sh 300 (c)sh30000 (d)sh.3500 (e)sh. 6500
39. Tafuta ujazo wa mche duara ambao kimo chake ni sm70 na kipenyo chake n ism 3.5 (lita1
=sm31000)
(a) L2.695 (b) L2.569 (c) L2.965 (d) L2956 (e) L2
40. Umri wa watoto wanne iliainishwa kama ifuatavyo 13, 18, 23,……..Tafuta umri wa mtoto wanne
(a) 12 (b) 24 (c) 41 (d) 28 (e) 22
SEHEMU B: KOKOTOA
41. Peo tatu za shamba lenye umbo la mstatili ni A (-4,1) B(-4,-2) C(3,-2), Tafuta peo ya nne
42. Wakulima 12 hulima shamba la ekari 4 kwa siku7, je wakulima wangapi watalima shamba hilo hilo
kwa siku3?
43. Umri wa Benison ni miaka 7 pungufu ya umri wa Noel. Miaka 14 ijayo jumla ya umri utakuwa
miaka 63, Tafuta umri wa sasa wa Benison
44. John alipewa sh 16000 kwaajil ya kununulia vitu vifuatazo ; nyama kg3@120,vitunguu
kg2½@750,nyanya kg6@125,mchele kg7@2200, Alipungukiwa kiasi gani cha fedha?
45. Kanyalu alikuwa na maembe 43,Brigit alikuwa na maembe17, Je Brigit anahitaji maembe mangapi
ili awe sawa na Kanyalu?
B 3x-30 C
(a)x=30° (b) 60° (c) 60° (d) 90° (e) 120°
33. What is the value of n from the following triangle?
980
116° x
(a) 42° (b) 60°(c)120°(d) 32° (e) 64°
36. Find the value of``W” from the figure below
70° w 50°
SECTIONB: CALCULATE
41.The three verticals of farm with a rectangular shape is follows: A(-4,1),B(-4,-2),c(3,-2).Find the
fourth vertex.
42.12 farmers cultivate a farm of 4 acres in 7 days. How many farmers can cultivate the same areas in 3
days?
43. The age of Benson is 7 less than of age of Noel .Fourteen years to come the total of their age will
be63 years. Find the present age of Benson.
44.John was given 16,000/= to buy the following items 3kg of meat @1200, 2 ½kg of onion
a@750/= ,6kg of tomatoes@125,7kg of rice @2200/ =.What amount of money was lacking?
45. Kanyalu has 43 mangoes and Brigit has 17 mangoes how many mangoes are required from Kanyalu
to B
rigit so that the number of Mangoes for both to equal
MAJIBU
1) A
2) C
3) B
4) B
5) B
6) A
7) D
8) C
9) A
10) B
11) B
12) A
13) E
14) A
15) C
16) D
17) B
18) C
19) C
20) B
21) A
22) B
23) B
24) E
25) E
26) D
27) A
28) A
29) A
30) B
31) B
32) A
33) B
34) C
35) D
36) B
37) B
38) B
39) A
40) D
41) PEO YA NNE (3,1)
42) SIKU 28
43) UMRI WA BENSON SASA NI MIAKA 14
44) ALIPUNGUKIWA 5625
45) MAEMBE 26