Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Bei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 17:29, 6 Julai 2021 na Mukusini (majadiliano | michango) (#WPWP #WPWPARK)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Bei


Bei inaweza kufafanuliwa namna tofauti. Pengine ufafanuzi rahisi ni kusema "bei ni thamani ya bidhaa au huduma".

Bei inaonyeshwa kwa bidhaa nyingine, huduma, au kwa pesa.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bei kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.