Faila
Mandhari
Faila (kutoka Kilatini "phylum", yaani: kabila, ukoo; pia: "kabila") katika biolojia ni ngazi ya uainishaji wa kisayansi iliyopo baina ya himaya na ngeli.
Kwa Kiingereza faila huitwa "phylum" kama inahusu wanyama lakini "division" kama inataja mimea.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Faila kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |