Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni
Nyaraka |
---|
Fransisko wa Asizi
[hariri chanzo]Riccardo, salam. Nd. Riccardo, ile makala ya Fransisko wa Asizi, umeandika safi sana na inaeleweka. Lakini je vipi kuhusu mwaka aliozaliwa huyu bwana unaujua? Natumai utakuwa umeitafsiri kutoka wiki zingine ama sivyo? Natumai ndivyo!! Basi kama utaweza kuandika mwanzo kabisa mwaka aliozaliwa itakuwa bora zaidi. Labada nikupe mfano mdogo: Fransisko wa Asizi (tarehe na mwaka aliozaliwa) alikuwa mtakatifu kutoka nchini Italia. Asizi alizaliwa katika mkoa wa Umbria, wilaya ya Perugia, Italia.... Kisha unaweka kama ndugu na mambo mengine!! Haya basi kama hujaelewa labda umwulize Kipala atakupa habari zaidi!! Kingine usisahau kuweka InterWiki katika makala yako kama ipo katika wiki zingine-[[it:Fransisko of Asizi]] (sijui kwa lugha ya Kitaliano wanahitaje) lakini inategemea na lugha vyovyote vile inaswihi. Kingine kuweka vichwa katika makala, hili nenda kaangalie makala yako utaona nimefanya vipi mpaka kimekuja kichwa cha habari-Fransisko wa Asizi. Sina mengi na nakutakia kheri ya mwaka mpya na furaha tele moyoni!!--Mwanaharakati 05:08, 7 Januari 2008 (UTC)
Kuna kitu nimesahau kukueleza. Kuweka jamii au category katika makala, mfano: [[Category:Watakatifu wa Italia]] au [[Category:Watakatifu]] na nyingine ya mwaka aliozaliwa -unaweka mabano kama hayo kisha unaadika (Waliozaliwa 19 na...) kama kafa unaandika Waliofariki (mwaka aliokufa). Natumai utakuwa umeelewa!!--Mwanaharakati 05:20, 7 Januari 2008 (UTC)
Inquiry
[hariri chanzo]Hello Riccardo. I've seen in article's history (Tafsiri ya Vishazi na Virai ...) that you removed the image that goes with the article. I thought it's a good Wikipedia practice to communicate with you to inquire for the reason. Dee Soulza (majadiliano) 18:03, 8 Juni 2024 (UTC)
- Yes, it's a good practice. The reason is that the image was not more visible. I don't know why, but if you can restore its visibility, let you do. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 04:56, 9 Juni 2024 (UTC)
Hi Ricardo! helped me to add this Linguistic map of the Sumbawa language to Wikipedia English for the Sumbawa language thanks.
140.213.127.134 16:51, 15 Juni 2024 (UTC)
Why don't you yourself add it? I see there a editing war... Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:21, 16 Juni 2024 (UTC)
- Ha ha ha h aha... Umeona siwe tabu. Dah! Muddyb Mwanaharakati Longa 10:00, 20 Juni 2024 (UTC)
Ndugu Riccardo Riccioni,
Unadhani una muda wa kupitia makala za msingi? Pengine ukatafsiri vichwa vya makala? Nitaangalia namna ya kujaza makala hayo. Lakini nitahakikisha yanakuwemo humu. Unisamehe sana kwa usumbufu. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:59, 20 Juni 2024 (UTC)
- Ndugu, kazi hiyo ni kubwa sana, ila bahati nzuri tulikwishafanya mimi na marehemu wetu mpenzi Kipala. Tazama: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo, Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa, Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000. Sijui kwa nini wanaoandaa edithatons wanaelekeza wahariri wapya kuandika makala juu ya watu wasiojulikana sana au ni maarufu kwa ushoga wao badala ya kutunga kurasa hizi za msingi... Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:50, 23 Juni 2024 (UTC)
Unisamehe kwa kutunza kumbukumbu zako nje ya mfuko wa majadiliano
[hariri chanzo]Ndugu Riccardo,
Kama umetambua hivi sasa majadiliano yako yanaonekana kiduchu sana. Nimeyahifadhi katika nyaraka zako kwa vile ni muhimu sana ziwepo. Pia unisamehe kwa kuja nyumbani na kuvunja vitu pasipo-adabu! Muddyb Mwanaharakati Longa 07:43, 23 Juni 2024 (UTC)
No problem! Tuko pamoja. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:50, 23 Juni 2024 (UTC)
Pendekezo la kuondoa wakabidhi
[hariri chanzo]Ndugu Riccardo,
Kuna pendekezo hapa. Naomba upige kura; https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wakabidhi#Pendekezo_la_kuondoa_WAKABIDHI_wasio_hai
Amani kwako. Muddyb Mwanaharakati Longa 06:11, 8 Julai 2024 (UTC)
Deleting files
[hariri chanzo]Hello! I can't find the administrators notice board so I write to you because you are the most active admin. All files need a valid license and I noticed that a number of files on Maalum:FailiZisizotumika does not have a valid license.
Some have been nominated for deletion and can be seen in Jamii:Makala kwa ufutaji. Perhaps you can have a look and delete the files? The files in Jamii:NowCommons can most likely also be deleted.
Also GFDL is not a good license for media files so perhaps you can remove it from MediaWiki:Licenses? --MGA73 (majadiliano) 17:45, 17 Agosti 2024 (UTC)
Ahsante sana bw. Riccardo
[hariri chanzo]Kiongozi, nimefurahishwa sana na marekebisho ya kiufundi uliyoyafanya kwenye makala ya changamoto za Kiswahili. Aluta continua. Idumu Wikipidia ya Kiswahili. Dee Soulza (majadiliano) 16:56, 30 Agosti 2024 (UTC)
Childbirth
[hariri chanzo]Does SW WP not have an article on childbirth?[1]. Not clear why this one was removed?[2] Doc James (talk · contribs · email) 07:08, 4 Septemba 2024 (UTC)
- Dear doctor, as you know from the past, the translations you promote have very problems, starting from the titles. We had an article about generation, but not about human childbirth. Now I have transferred your page on kuzaa to a new one about kujifungua, that is human childbirth. No more. We are trying to accept your contributions, though recurrent mistakes, e.g. many links in the text redirecting to English title not existing in Sw Wiki, or missing categories below. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:51, 4 Septemba 2024 (UTC)
- Thank you for being willing to collaborate. I am of course working with volunteers and introducing them to Wikipedia. While they are generally language experts / translators they are not Wikipedia experts.
- We can put all articles translated into / automatically if that would help. Have added attribution to Kujifungua.
- What do you mean by "many links in the text redirecting to English title". The software should automatically be substituting EN link with SW links and if it is not I can file a bug report. Best Doc James (talk · contribs · email) 13:16, 6 Septemba 2024 (UTC)
- Software is a machine... I found such wrong links in your articles, though I had not time to correct all of them. Peace to you, doctor! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:19, 6 Septemba 2024 (UTC)
- Okay found the link issue... Will see what is happening and what we can do to prevent it going forwards. Doc James (talk · contribs · email) 13:31, 6 Septemba 2024 (UTC)
- E.G. link to affect (psychology) in the first text of the now redirected Ugonjwa wa kutotulia kihisia. Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:34, 6 Septemba 2024 (UTC)
- Thank you for all your help. We will continue to work on improving our efforts. Best Doc James (talk · contribs · email) 10:14, 9 Septemba 2024 (UTC)
- E.G. link to affect (psychology) in the first text of the now redirected Ugonjwa wa kutotulia kihisia. Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:34, 6 Septemba 2024 (UTC)
- Okay found the link issue... Will see what is happening and what we can do to prevent it going forwards. Doc James (talk · contribs · email) 13:31, 6 Septemba 2024 (UTC)
- Software is a machine... I found such wrong links in your articles, though I had not time to correct all of them. Peace to you, doctor! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:19, 6 Septemba 2024 (UTC)
Padre Giovanni Losi
[hariri chanzo]Carissimo Riccardo, Pace! Come stai? Io abbastanza bene!!! A dine mese avremo un nuovo parroco, don Andrea Legranzini, proveniente da Boffalora d'Adda. Lo aspettiamo felici!!!
Ti chiedo, per favore, un piccolo favore, se potessi aprirmi questa piccola pagina in Swahili. Ri invio una bozza:
[[Image:Father Giovanni Losi MCCI.jpg|Right|thumb|220px|Giovanni Losi (1865).]] '''Giovanni Losi''' (amezaliwa [[Caselle Landi]], 29 November 1838 – 27 December 1882) ni alikuwa kasisi wa Kiitaliano na mmisionari [[Kanisa Katoliki|Mkatoliki]] nchini [[Italia]]. Alipewa upadre mwaka 1862, mwaka 1872 alikwenda Sudan pamoja na Daniele Comboni, hadi El-Obeid.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 334</ref> aliandika, pamoja na Padre Bonomi, katekisimu na kamusi ya lugha ya Kinubi.<ref>[https://www.comboni.org/fratelli/106304 In Pace Christi - Giovanni Losi]</ref> Baada ya kifo cha Comboni mnamo 1881, alikua mrithi wake hadi 1882, mwaka wa kifo chake.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 336</ref> La traduzuione sarebbe: Ordinato sacerdote nel 1862, nel 1872 andò in Sudan con daniele Comboni, a El-Obeid. ha scitto, con padre Bonomi, un catechismo e un dizionario della lingua Nubiana. Alla morte di Comboni, nel 1881, è diventato il suo successore fino al 1882, anno della sua morte. Grzie di tutto quello che fai per me. Buon fine settimana!!! '''[[Mtumiaji:Rei Momo|Rei Momo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rei Momo|majadiliano]])''' 10:05, 13 Septemba 2024 (UTC) Sarebbe così: [[Image:Father Giovanni Losi MCCI.jpg|Right|thumb|220px|Giovanni Losi (1865).]] '''Giovanni Losi''' ([[Caselle Landi]], [[29 Novemba]] [[1838]] – [[27 Desemba]] [[1882]]) alikuwa [[kasisi]] na [[mmisionari]] wa [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Italia]]. Baada ya kupewa [[upadirisho]] [[mwaka]] [[1862]], mwaka [[1872]] pamoja na [[Daniele Comboni]] alikwenda [[Sudan]], hadi [[El-Obeid]].<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 334</ref> Huko aliandika, pamoja na padre Bonomi, [[katekisimu]] na [[kamusi]] ya [[lugha]] ya [[Kinubi]].<ref>[https://www.comboni.org/fratelli/106304 In Pace Christi - Giovanni Losi]</ref> Baada ya [[kifo]] cha Comboni mnamo [[1881]], alikua [[mrithi]] wake hadi 1882, mwaka wa kifo chake.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 336</ref>
Tanbihi
[hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
Rei Momo (majadiliano) 10:04, 13 Septemba 2024 (UTC)
Grazie di tutto, per il gradissimo aiuto!!!
Che padre Losi interceda per tutti noi!!! Rei Momo (majadiliano) 06:35, 18 Septemba 2024 (UTC)
Giovanni Losi
[hariri chanzo]Grazie di tutto, Pace!!! Rei Momo (majadiliano) 20:40, 19 Septemba 2024 (UTC)
Wikidata links
[hariri chanzo]Hey Riccardo... The SW Mpox article was linked to the outbreak[3] rather then the disease itself.[4] Have fixed. Doc James (talk · contribs · email) 17:20, 30 Septemba 2024 (UTC)
Request
[hariri chanzo]Can you please take a look at Jamii:Makala kwa ufutaji? Thanks, TenWhile6 (majadiliano) 09:51, 24 Oktoba 2024 (UTC)
Redirect
[hariri chanzo]mwandiko is nothing but redirect to maandishi.
Missing content exists in w:it:jod w:it:sho (lettera) @ w:it:Template:Alfabeto_greco_navbox.
Please import it here, thank you. ~2024-8390 (talk) 17:32, 3 Novemba 2024 (UTC)
- I wonder if you know the meaning of both articles. They are not the same as you claimed. MuddybLonga 09:01, 4 Novemba 2024 (UTC)
- Dear Muddy, thanks. As usual, they don't know our language. All the same, I have changed the redirect to a full article about "handwriting". Peace to both of you. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:21, 4 Novemba 2024 (UTC)
- Ajabu kabisa. MuddybLonga 05:53, 10 Novemba 2024 (UTC)
- Dear Muddy, thanks. As usual, they don't know our language. All the same, I have changed the redirect to a full article about "handwriting". Peace to both of you. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:21, 4 Novemba 2024 (UTC)
- FYI: both Greek letters are already here in Kiswahili, but need to get missing content from Italian articles into Kiswahili ones. ~2024-25812 (talk) 14:04, 9 Desemba 2024 (UTC)
Malicious foreign patrollers
[hariri chanzo]They tend to mess anonymous users, they are worse than blatant vandals. Example:
- http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kuuawa_kwa_Alvin_Cole&diff=1363270&oldid=1344998
- http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kuuawa_kwa_Alvin_Cole&diff=1363448&oldid=1363308
~2024-12800 (talk) 14:58, 13 Novemba 2024 (UTC)
Example:
- http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Alfabeti_ya_Kirumi&diff=933633&oldid=933629
- http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Alfabeti_ya_Kirumi&diff=933628&oldid=933625
PATROLLER twice vandalizes correct IP's correct repair of redirect which requires REDIRECT word to function properly.
FYI: ALREADY banned permanently. ~2024-15320 (talk) 17:15, 18 Novemba 2024 (UTC)
- Hey Riccardo, I'm seeing that you blocked Pmlineditor in response to this message. Pmlineditor is a former steward who has not edited any Wikimedia project in ~3 years, and the linked edits were from 2014. While it doesn't have any practical effect (since Pmlineditor has retired) I'd ask that you unblock their account. Best regards, EPIC (majadiliano) 22:33, 20 Novemba 2024 (UTC)
Joke edits done back and forth, another example of foreigner who even does not know Kiswahili nor content layout itself. ~2024-24650 (talk) 09:40, 8 Desemba 2024 (UTC)
Borhan / Tanbiruzzaman appear to be mutual sock puppets, both are from Bengal Wikipedia and both are doing troubles here. ~2024-24315 (talk) 14:57, 8 Desemba 2024 (UTC)
Enough is Enough! Maalum:Michango/HakanIST + Maalum:Michango/Borhan. Talman Talman (majadiliano) 11:39, 14 Desemba 2024 (UTC)
Infoboxes
[hariri chanzo]Do you know any Wikipedian who could fix "infobox drug" and "infobox birth control" so those en.wikipedia.org infoboxes also work on sw.wikipedia.org? Thanks. Lucas559 (majadiliano) 21:13, 18 Novemba 2024 (UTC)
- No, but let you ask Jadnapac. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:24, 19 Novemba 2024 (UTC)
- Hi Lucas559! I'm always happy to help bring templates to the Swahili Wikipedia, but I have to leave the translations to others at the moment. Let me know if you need help doing the former Rich Farmbrough , 22:12, 8 Desemba 2024 (UTC).
Eternal page protections
[hariri chanzo]Even in bigger Wikipedias pages are typically protected for finite time at most. I feel that eternal time is too excessive, and offenders are typically doing disruption for no longer than one year. Can you shorten all these eternal page protections to at least one year? As for now, all related offenders are long gone, and honest "temporary accounts" are unable to edit at all. Jeriba$higanu (majadiliano) 10:09, 9 Desemba 2024 (UTC)
- It's a very long list and needs time to shorten their protection. Very badly, the one who used to eternally protect those pages has died. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:22, 9 Desemba 2024 (UTC)
- So at least can you NOW unprotect Digamma and Pai (herufi) for now? None of other Greek letters including those protected ones, were ever vandalized at all since years. Jeriba$higanu (majadiliano) 10:24, 9 Desemba 2024 (UTC)
Per un'enciclopedia, le fonti dovrebbero essere indiscutibili. Un'enciclopedia non è una fonte primaria: i suoi autori non conducono interviste né compiono ricerche originali. Dunque, qualunque cosa sia inclusa in Wikipedia dovrebbe essere già stata trattata in trascrizioni, ricerche, studi o reportage altrui che abbiano possibilmente goduto di considerazione a livello accademico e/o internazionale. ~2024-25658 (talk) 08:08, 10 Desemba 2024 (UTC)
Io lo so, ma altri no. Grazie per avere eliminato molte fonti dubbie. Pace a te! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:17, 10 Desemba 2024 (UTC)
- To avoid resurgence of fake pseudoreference plague recently cleaned in hundreds of articles, can you put inside adminprotected template:Karibu advice against doing <ref></ref> entries containing links to any and all WIKIMEDIA/WIKIPEDIA sites, by declaring there that purely external sources are always needed? Kokamamie (majadiliano) 13:20, 12 Desemba 2024 (UTC)
- It is weak English, please change in template:Karibu relevant statement to: by writing them themselves. Kokamamie (majadiliano) 08:00, 13 Desemba 2024 (UTC)
Page CAN be editprotected even if AFTER deletion
[hariri chanzo]Wikipedia:Mkaguzi wa watumiaji - vandalism newpage, delete first, protect second. ~2024-27968 (talk) 08:38, 14 Desemba 2024 (UTC)
Technical error
[hariri chanzo]this diff shows you reinserted TAB (tabulators), where spaces should normally be. Maalum:Michango/~2024-27447 edited correctly, restoring YOUR version but WITHOUT TAB (tabulators). Can you remove these TAB (tabulators) again? Simple as self-revert in this case. ~2024-27442 (talk) 12:26, 14 Desemba 2024 (UTC)
Nuova foto nella pagina Giovanni Losi
[hariri chanzo]Carissimo padre Riccardo, pace!!!
Ho aggiunto una foto in questa pagina e ti chiederei, per favore, di controllare se la didascalia è esatta. Volevo dire: La strada dedicata a padre Losi, a Caselle Landi. Grazie mille per il tuo prezioso aiuto.
Approfitto per farti tanti auguri di un Santo natale e Buon 2025, tanta Luce del Signore per te. A presto Rei Momo (majadiliano) 14:03, 14 Desemba 2024 (UTC)
- Grazie mille di tutto, il tuo aiuto è sempre prezioso!!! Rei Momo (majadiliano) 08:27, 17 Desemba 2024 (UTC)
EXAMPLE: talk:Beka Flavour
[hariri chanzo]Orphan talk WITHOUT its article - nothing but nonsense, please delete. ~2024-27365 (talk) 07:50, 15 Desemba 2024 (UTC)
FYI: ON any NORMAL wikipedia talk pages are ALWAYS to be deleted when its page is not existing. Example:
https://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Special:Log&page=Talk%3ABijoy+Smarani+University+College
04:11, 15 December 2024 Liz talk contribs deleted page Talk:Bijoy Smarani University College (G8: Talk page of a deleted or non-existent page)