7 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Oktoba ni siku ya 280 ya mwaka (ya 281 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 85.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1708 - Guru Gobind Singh wa jumuiya ya Kalasinga anatangaza kitabu kitakatifu cha Adi Granth kama mfuasi wake kwa jina la Guru Granth Sahib
- 1949 - Kuundwa kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1885 - Niels Bohr, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1922
- 1888 - Henry Wallace, Kaimu Rais wa Marekani
- 1897 - Elijah Muhammad, kiongozi wa Nation of Islam nchini Marekani (1934-1975)
- 1939 - Harold Kroto, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1996
- 1950 - Jakaya Kikwete, Rais wa nne wa Tanzania
- 1970 - U-God, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1989 - Rose Ndauka, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 336 - Mtakatifu Papa Marko
- 858 - Montoku, mfalme mkuu wa Japani (850-858)
- 1242 - Juntoku, mfalme mkuu wa Japani (1210-1221)
- 1967 - Norman Angell, mwandishi wa habari Mwingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1933
- 1994 - Niels Jerne, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1984
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Rozari na ya watakatifu Marselo wa Capua, Yustina wa Padova, Serjo na Bako, Papa Marko, Augusto wa Bourges, Paladi wa Saintes n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 12 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |