Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Aikido

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wachezaji wa Aikido

Aikido (katika Kijapani: 合気道) ni mchezo wa mapigano ulioanzishwa na Morihei Ueshiba [1] ukiwa ni mchezo uliobeba falsafa na imani ndani yake

Mchezo huu ulianza kuchezwa katika nchi ya Japani mnamo mwaka 1920 kama mchezo wa mbinu za kujihami wenye kumfunza mpiganaji kuhusu maadili ya heshima na imani.

Wachezaji katika mchezo huu wanaamini kabisa katika kuitengeneza jamii bora na si kujihami na kupigana na maadui peke yake [2].

  1. "What is Aikido? - Learn more about the way of peace". Aikido Association (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-02-26.
  2. "Aikido History". aikidohistory.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-26.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Aikido kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.