Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Ardhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:

Neno ardhi laweza kumaanisha:

  • Nchi kavu yaani sehemu ya dunia ambayo haijafunikwa na maji
  • Udongo yaani sehemu ya juu kwenye uso wa nchi ambako mimea huweza kuota.
  • Dunia yetu kwa jumla
  • Ardhi (kiuchumi), ambayo ni sehemu ya uzalishaji wa rasilimali zilizoko.


Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.