Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Celeste Headlee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Celeste Headlee
Amezaliwa Celeste Headlee
30 December 1969
Marekani
Kazi yake mtangazaji wa redio
Celeste Headlee mnamo mwaka 2012

Celeste Headlee (alizaliwa Desemba 30, 1969) ni mtangazaji wa redio, mwandishi wa majarida mbalimbali, mzungumzaji kwenye hadhara tofauti nchini Marekani.

Akiwa na umri wa miaka 20, katika kazi zake za utangazaji wa redio, alikuwa ameshawahi kufanya kipindi mfululizo na shirika kubwa la utangazaji wa umma la Georgia kijulikanacho kama, "On Second though"[1][2] na kuwa mwenyeji wa kipindi cha asubuhi cha taifa kijulikanacho kama , "The takeaway". Kabla ya mwaka 2009, aliwahi kuwa mwandishi wa midwest cha NPR siku baada ya siku na kuwa mwenyeji wa mtiririko wa vipindi vya wiki katika maonyesho ya Radio ya taifa ya Dertroit. Pia Headlee ni mwandishi wa kitabu "We Need to Talk: How to Have Conversation That Matter" (Harper Wave, September 19, 2017).

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Celeste Headlee alizaliwa mwezi Desemba 30, 1969 Whittier, California, akiwa binti wa Judith Anne Still, mwandishi, na Larry Headlee, akiwa mtaalamu wa miamba ya majini. baba yake akiwa na asili ya bara la ulaya. Bibi na babu zake wakiwa watunzi William Grant Still na mcheza kinanda Verna Arvey. Babu yake akiwa na asili ya Marekani mweusi na bibi yake akiwa na asili ya Myahudi Mrusi.[3]

Headlee alihitimu katika chuo cha Northern Arizona University (NAU) na kupata shahada ya uzamili ya utumbuizaji wa sauti katika chuo kikuu cha Michigan.[4]

Kazi za Uandishi

[hariri | hariri chanzo]

Headlee alianza kazi yake kama mtangazaji wa habari na mwandishi katika kituo cha redio cha taifa cha Arizona KNAU katika jiji la Flagstaff mnamo mwaka 1999[5] na kuaza kusikika rasmi katika Redio stesheni jijini Longstaff KVNA. Mnamo mwaka 2001, alikuja kuwa mtangazaji na mwandishi wa habari wa redio WDET-FM, Radio ya umma ya Detroit, akiwa mwenyeji wa kila wiki liitwalo Front Row Center.[6][7] Mnamo mwaka 2006 alianza kufanya kazi na Redio ya taifa (National Public Radio), kutengeneza hadithi, kutangaza habari za punde, na kuzalisha ushirikiano wa muda mrefu.[8] Headlee was the Midwest Correspondent for NPR's Day to Day na habari zake kurushwa na NPR, Public Radio International, mtandao wa Pacifica , Great Lakes Radio Consortium, na Habari za kitaifa za asili.[9]

Mnamo mwaka 2009 mpaka Agosti 2012,[10] Headlee alikuwa mwenyeji (akishirikiana na John Hockenberry) wa The Takeaway,kutangaza taarifa ya habari ya Taifa mubashara ikiwa imezalishwa na Public Radio International[11] na WNYC New York. Mnamo Desemba 2017, alionekana kama mmoja wa wanawake waanzilishi wa Takeaway mwenyeji mkuu alieacha kipidi kutokana na kuchukizwa na unyanyasaji na kutoheshimika na Hockenberry.[12] Wanawake wengine waliohusishwa na kipindi hicho walijitokeza kutokana na kukumbwa na tatizo hilo na pia waliokumbwa na unyanyasaji kingono walijitokeza pia.[12]

Mwishoni mwa mwaka 2012, akiwa kama mgeni mwenyeji wa kipindi cha NPR Tell Me More, Na mgeni mwenyeji bila uwepo wa Neal Conan katika Talk" of the Nation.

Mnamo mwaka 2014, alianzisha kipindi cha On Second Thought katika shirika la umma wa Georgia (Georgia Public Broadcasting).[13] kipindi kilichochukua lisaa limoja katika redio kilihusisha habari za kitaifa na kimataifa kiichohusisha Georgia ya Kusini.

kwa sasa Headlee ni msimamizi mkuu wa kipindi cha Retro Report kinachorushwa na shirika la PBS.[14]

Tuzo za Uandishi wa Habari

[hariri | hariri chanzo]

Headlee aliweza kutunukiwa tuzo kutoka Michigan cha AP,[15] Umoja wa waandishi wa habari wa Michigan (Michigan Association of Broadcasters), na jamii ya Metro (Metro Detroit Society of Professional Journalists).[16] Headlee anafanya kazi kama msimamizi na mkurugenzi wa NPR Next Generation , ambacho chenye lengo la kufundha vijana wachanga kuwa waandishi wa habari wazuri. Akiwa anaishi Arizona, Headlee alikuwa mwanachama wa wasanii wa Roster wa Arizona Commission on the Arts. Mwaka 2011 alitajwa kama mwandishi wa habari wa Getty Arts Journalism Fellow na chuo cha USC's Annenberg School of Journalism.[17]

Uandishi

[hariri | hariri chanzo]

Kitabu chake cha mwaka 2017, book, We Need to Talk: How to Have Conversations That Matter kilichotoka mnamo mwezi May 2015 TEDx talk alichotoa Savannah, na kuzungumziaa namna gani watu wanaweza kuboresha mawasiliano yao.[18][19] She also covers relevant research in the book and helps people create strategies for their conversations.[20]

Kitabu chake cha Do Nothing (2020) anazungumza namna program ya kidigitali kilivyotengenezwa kuwafanya watu wakasirike zaidi wasipozalisha vya kutosha katika maisha yao.[14] In the book, Headlee asserts the importance of leisure time and connecting genuinely with other people.[21]

Elimu ya Muziki na Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Kapata mafunzo ya hali ya juu soprano,[13] Headlee graduated from the Idyllwild Arts Academy (part of the Idyllwild Arts Foundation) in 1987 and received a B.A. in Vocal Performance at Northern Arizona University in 1993, graduating with honors.[22] Headlee aliweza kupata shahada ya uzamili yake ya muziki ya utumbuizaji kwa sauti katika chuo cha Michigan (University of Michigan) mnamo ,waka 1998, akisoma pamoja na Freda Herseth, Leslie Guinn, and George Shirley, na kuchambua wimbo na Martin Katz. Headlee aliweza fanya maonyesho na Jumba la kumbukumbu la taifa la sanaa,[23] Butler Center for Arkansas Studies, the Distinguished Artist Series at the Church of the Red Rocks, Colorado College,[24] the Detroit Institute of Arts, Yavapai College, Wagner College[25] and Wayne State University, among other venues. Aliweza pia kutumbuiza katika kampuni tofauti kama msimamizi wa michezo wa Michigan, kampuni ya Sedona Repertory, wachezaji wa Harlequin (Olympia, Washington), kituo cha sanaa cha Seldon, na Lakes Lyric Opera.[26]

Maisha Binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Headlee alikuwa na watoto wawili.[13]

Headlee ni mjukuu wa mtunzi William Grant Still. Mara kwa mara alifanya maonesho katika shughuli mbalimbali za muziki ya wima na kuimba wimbo wa imara "Levee Land"[27] on the CD[28] iliyozalishwa na chuo cha Arizona kaskazini Wind Symphony. Aliweza pata mafunzo tofauti kuhusu Miziki ya Still akiwa katika shule ya upili[5] na chuoni na kuwa mhariri katika toleo la pili la kitabu, William Grant Still na the Fusion of Cultures in American Music, na kuziunganisha kazi za Still's.


Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. "About Celeste Headlee". Celeste Headlee. Iliwekwa mnamo 20 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Virginia Prescott Named New Host of GPB Radio's "On Second Thought"". Georgia Public Broadcasting. Aprili 9, 2018. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. gpb.org On Second Thought May 20, 2015
  4. McManis, Sam (6 Oktoba 2019). "Going 'Retro': Celeste Headlee, who got her start in Flagstaff, to co-host PBS show". Arizona Daily Sun (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-30.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. 5.0 5.1 Zick, William J. (Januari 16, 2012). "A2Schools.org: PRI Co-Host Celeste Headlee, Conductor John McLaughlin Williams & Singer Daniel Washington in Ann Arbor Jan. 13". Africlassical. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Thanks for visiting the Environment Report's home page". Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Metro Detroit: Newsmakers May 4, 2006 – Michiguide.com 2006 News Archives". michiguide.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "NPR Search : NPR". NPR. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. The Takeaway. Archived Juni 14, 2012, at the Wayback Machine
  10. Headlee, Celeste (Agosti 22, 2012). "@silouette74 I left the Takeaway – my last day was Friday". Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)Kigezo:Primary source inline
  11. PRI bio. Archived Machi 11, 2012, at the Wayback Machine
  12. 12.0 12.1 "Public-Radio Icon John Hockenberry Accused of Harassing Female Colleagues", The Cut, December 1, 2017. Retrieved on December 10, 2017. 
  13. 13.0 13.1 13.2 Ho, Rodney. "Celeste Headlee Headlines New WRAS Show", The Atlanta Constitution, 2014-10-20, pp. D1. and"Headlee", The Atlanta Constitution, 2014-10-20, pp. D4. 
  14. 14.0 14.1 Kelemen, Jasmina (11 Oktoba 2019). "Social Anxiety: Self-Help Books 2019–2020". Publishers Weekly. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "Welcome". Newsroom. Februari 13, 2018. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. "Awards". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 21, 2016. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. "Getty Arts Journalism Fellows". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 16, 2011. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. "We Need to Talk: How to Have Conversations That Matter". Publishers Weekly. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  19. Rhone, Nedra. "GPB Host Headlee Wants Us to Have Conversations That Matter", The Atlanta Constitution, 2017-08-10, pp. D6. 
  20. "We Need to Talk: How to Have Conversations That Matter". Kirkus. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  21. "Do Nothing". Kirkus. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  22. "Welcome – The NAU Legacy: – People Making a Difference – Northern Arizona University". nau.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-24. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  23. National Gallery of Art.
  24. Colorado College Performance. Archived Septemba 24, 2006, at the Wayback Machine
  25. Wagner College Work One Campus Road Staten Isl (Aprili 26, 2011). "'Porgy & Bess Concert,' May 1". Newsroom. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  26. The Great Lakes Opera. Archived Juni 24, 2012, at the Wayback Machine
  27. "Levee Land, William Grant Still and Florence Mills". florencemills.com. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  28. "Music of Afro-American Composers". Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)