Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Coca-Cola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Coca-Cola, au Coke, ni kinywaji kisicho na kilevi kinachotengenezwa na kampuni ya Coca-Cola. Mnamo mwaka 2013, bidhaa za Coke ziliuzwa kwenye zaidi ya nchi 200 duniani kote, na zilikua na watumiaji zaidi ya bilioni 1.8. Coca-Cola ilikua nafasi 87 katika orodha iliyotolewa na gazeti la fortune 500 ya makampuni yenye kipato kikubwa zaidi nchini Marekani.[1]

Kulingana na utafiti wa Interbrand (2020) wa brand bora ya kimataifa, Coca-Cola ilikuwa brand ya sita yenye thamani zaidi duniani.[2]

Jina la kinywaji "Coca cola" limetokana na mchanganyiko wake wa majani ya "Coca" na karanga za "kola" (chanzo cha kafeini)[3]

  1. "Fortune 500 Companies 2018: Who Made the List". Fortune (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 10, 2018. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "2020 Best Global Brands - Interbrand". Interbrand. Iliwekwa mnamo Julai 7, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Greenwood, Veronique (2016-09-23). "The little-known nut that gave Coca-Cola its name". www.bbc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-01-21.