Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Ghil'ad Zuckermann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Ghil'ad Zuckermann
Profesa Ghil'ad Zuckermann, D.Phil. (Oxon.), 2011
Amezaliwa1 Juni 1971
Kazi yakemtaalamu wa isimu (sayansi inayochunguza lugha) mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Israel, Italia


Ghil'ad Zuckermann (*1 Juni 1971) (D.Phil., Oxford, 2000; Ph.D., Cambridge, 2003) ni mtaalamu wa isimu (sayansi inayochunguza lugha) mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Israel, Italia, Uingereza na Australia.

Tangu 2011 amekuwa profesa kwenye chuo cha Chuo Kikuu cha Adelaide, Australia Kusini, Australia.[1][2][3]

Maandishi yake ya kisayansi

[hariri | hariri chanzo]
  • Revivalistics: From the Genesis of Israeli to Language Reclamation in Australia and Beyond, Oxford University Press, 2020. ISBN 9780199812790 / ISBN 9780199812776
  • Language Contact and Lexical Enrichment in Israeli Hebrew. Palgrave Macmillan. 2003. ISBN 9781403917232
  • Israelit Safa Yafa (Israeli – A Beautiful Language). Tel Aviv: Am Oved. 2008. ISBN 9789651319631.
  • Burning Issues in Afro-Asiatic Linguistics Archived 16 Agosti 2020 at the Wayback Machine., 2012.
  • Jewish Language Contact, International Journal of the Sociology of Language 226), 2014.
  • Engaging – A Guide to Interacting Respectfully and Reciprocally with Aboriginal and Torres Strait Islander People, and their Arts Practices and Intellectual Property Archived 30 Machi 2016 at the Wayback Machine., 2015.
  • Dictionary of the Barngarla Aboriginal Language Archived 16 Agosti 2020 at the Wayback Machine., 2018
  • Barngarlidhi Manoo (Speaking Barngarla Together). Australia: Barngarla Language Advisory Committee. 2019.
    Barngarlidhi Manoo II

Vinginevyo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Alex Rawlings, 22.3.2019, BBC Future, The man bringing dead languages back to life ("Ghil'ad Zuckermann has found that resurrecting lost languages may bring many benefits to indigenous populations – with knock-on effects for their health and happiness").
  2. Sarah Robinson, 11.3.2019, The LINGUIST List, Featured Linguist: Ghil‘ad Zuckermann Archived 25 Machi 2019 at the Wayback Machine..
  3. Dr Anna Goldsworthy on the Barngarla language reclamation, The Monthly, 9.2014.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]