Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

K2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima K2, 2006

K2 ni mlima mkubwa wa pili duniani, wenye kimo cha m 8,611 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Karakoram.

Uko katika mpaka wa Pakistan na China.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu K2 kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.