Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Konrad Bloch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
ukumbusho wa Konrad Emil Bloch

Konrad Emil Bloch (21 Januari 191215 Oktoba 2000) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa kolesteroli (yaani sukari ya damu) na asidi mbalimbali. Mwaka wa 1964, pamoja na Feodor Lynen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konrad Bloch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.