Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Mikhail Kalashnikov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mikhail Kalashnikov

Mikhail Timofeyevich Kalashnikov (kwa Kirusi: Михаи́л Тимофе́евич Кала́шников; 10 Novemba 191923 Desemba 2013) alikuwa jenerali-luteni wa Umoja wa Kispovyeti, mvumbuzi, mhandisi wa jeshi, mwandishi, na mbunifu wa silaha ndogo. Yeye ni maarufu sana kwa kubuni bunduki ya AK-47 na maboresho yake kama AKM na vile vile bunduki ya PK na RPK (bombomu nyepesi).

Kalashnikov alikuwa, kulingana na yeye mwenyewe, mkufunzi aliyejifundishwa mwenyewe akiunganisha ustadi wa kiufundi na utafiti wa matumizi ya silaha zilizoendelea kupatikana kwenye mapigano ya vita kote duniani.

Ingawa Kalashnikov alisikitishwa na usambazaji wa silaha zake bila kudhibitiwa, alijivunia kuhusu uvumbuzi wake. Alisisitiza kwamba bunduki yake ni "silaha ya utetezi" na "si silaha ya mashambulio".

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mikhail Kalashnikov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.