Tani
Mandhari
Tani moja ni kipimo cha masi ya gimba ambacho ni sawa na kilogramu 1,000. Si kipimo halisi cha SI lakini hukubaliwa pamoja navyo vipimo sanifu. Kama kipimo sanifu cha SI ingeitwa "megagramu" ambayo haitumiki.
Ni kipimo muhimu katika takwimu za biashara na uchumi.
Neno tani hutumiwa pia kwa kutaja ukubwa wa ngama ya meli lakini hii ni kipimo tofauti si sawa na tani ya SI. Kipimo cha kimataifa kimekuwa tani ya "gross tonnage" au tani GT.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Kilogramu kwenye tovuti ya sizes.com Archived 21 Agosti 2013 at the Wayback Machine.
- Tovuti rasmi ya Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo Archived 1 Oktoba 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |