Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Visiwa vya Orkney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Orkney kati ya Uskoti na Shetland.

Visiwa vya Orkney (au Orkney) ni funguvisiwa upande wa kaskazini ya Uskoti (Scotland). Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti.

Visiwa vya Orkney viko baharini kati ya Britania na Visiwa vya Shetland.