Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Zaire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zaire ni neno lenye maana mbalimbali:

  • kiasili ni jina la kihistoria kwa ajili ya mto Kongo. Wareno walitamka neno la Kibantu la "nzari" (=mto) kama "zari - zaire".
  • watu wa nje wakati mwingine walitumia jina la mto pia kwa ajili ya ufalme wa Kongo ulioenea pande zote mbili za mto.
  • Zaire ilikuwa pesa ya Kongo wakati ilipoitwa "Zaire"
  • jina la mkoa wa Bas-Zaire katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hadi mwaka 2007.


Viungo vya Nje


Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.