4 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Juni ni siku ya 155 ya mwaka (ya 156 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 210.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1655 - Mtakatifu Thomas wa Cori, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1877 - Heinrich Otto Wieland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1927
- 1882 - John Bauer, mchoraji kutoka Uswidi
- 1916 - Robert Furchgott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
- 1971 - Joseph Kabila, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1975 - Angelina Jolie, muigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1608 - Mtakatifu Fransisko Caracciolo, padri mwanzilishi kutoka Italia
- 1830 - Antonio José de Sucre, Rais wa Peru (1823) na Rais wa Bolivia (1825-1828), aliuawa
- 1876 - Abdulaziz I, Sultani wa Milki ya Osmani (1861-1876)
- 1887 - William Wheeler, Kaimu Rais wa Marekani (1877-1881)
- 1918 - Charles Fairbanks, Kaimu Rais wa Marekani
- 1966 - Chang Myon, mwanasiasa kutoka Korea Kusini
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kwirino wa Sisak, Metrofane wa Bizanti, Optatus wa Milevi, Pedrog, Walter wa Servigliano, Nikola na Trano, Fransisko Caracciolo, Filipo Smaldone n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |