Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Nikotini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Nikotini''' ni dutu ya [[alkaloidi]] katika mimea mbalimbali hasa [[tumbaku]] ambayo ni [[dawa]] linaloathiri neva za mwanadamu. Matumizi yake ni hasa katika [[sigara]], lakini pia katika kemikali na madawa. Jina latokana na mbalozi wa Ufaransa katika Ureno wa karne ya 16, [[Jean Nicotin]], aliyekuwa mtu wa kwanza wa kuleta mbegu wa [[mtumbaku]] nchini Ufaransa.
'''Nikotini''' ni [[dutu]] ya [[alkaloidi]] katika [[mimea]] mbalimbali (hasa [[mtumbaku]]) ambayo ni [[dawa]] linaloathiri [[neva]] za [[mwanadamu]]. Matumizi yake ni hasa katika [[sigara]], lakini pia katika [[kemikali]] na [[madawa]].


Kuanzia kiasi fulani ni [[sumu]] kali, kwa viwango vidogo inaamsha [[neva]] za watu. Hatari yake kwa mwanadamu ni hasa uzoefu unaotokea na kuwa haraka [[uraibu]] unaotawala mwili na roho kwa hamu ya kurudia matumizi ya nikotini. Katika sifa hii inafanana na [[madawa ya kulevya]] hata kama kiwango cha kumwamsha mtu haufikii kwenye hali ya ulevi wa namna yoyote.
Kuanzia kiasi fulani ni [[sumu]] kali, kwa viwango vidogo inaamsha [[neva]] za watu. [[Hatari]] yake kwa mwanadamu ni hasa uzoefu unaotokea na kugeuka haraka [[uraibu]] unaotawala [[mwili]] na [[roho]] kwa [[hamu]] ya kurudia matumizi ya nikotini. Katika sifa hii inafanana na [[madawa ya kulevya]] hata kama kiwango cha kumwamsha mtu haufikii hali ya [[ulevi]] wa namna yoyote.

== Jina ==
[[Jina]] la dawa linatokana na jina la kitaalamu la mtumbaku "Nicotiana tabacum" na hili lilitokana
na [[Jean Nicot de Villemain]] aliyekuwa [[balozi]] wa [[Ufaransa]] nchini [[Ureno]] katika [[karne ya 16]]. Alijipatia mbegu za mtumbaku wakati mmea huu ulikuwa umeingia [[Ulaya]] kutoka [[Amerika]] akazituma [[Paris]] kwa [[utafiti]]. Ndiye mtu wa kwanza kuleta [[mbegu]] ya [[mtumbaku]] nchini Ufaransa.

Dawa la nikotini ndani ya majani ya mmea liligunduliwa na [[wanakemia]] [[Wajerumani]] [[mwaka]] [[1828]].


== Matokeo ya nikotini yanayotafutwa na watu ==
== Matokeo ya nikotini yanayotafutwa na watu ==
Matokeo ya kimwili ya nikotino kwa kiwango kidogo ni kuharakisha pigo la [[moyo]] na kupandisha [[kanieneo ya damu]]. Sifa hii inatafutwa na watu wakisema matumizi ya tumbaku husaidia kuondoa au kupunguza uchovu na kuongeza uamsho wa bongo. Lakini uamsho huu haudumu muda mrefu na mtu anapaswa kuongeza nikotini mara nyingi kwa kuvuta sigara nyingine.
Matokeo ya kimwili ya nikotini kwa kiwango kidogo ni kuharakisha pigo la [[moyo]] na kupandisha [[kanieneo ya damu]]. Sifa hii inatafutwa na watu wakisema matumizi ya [[tumbaku]] husaidia kuondoa au kupunguza [[uchovu]] na kuamsha [[ubongo]]. Lakini uamsho huu haudumu muda mrefu na mtu anapaswa kuongeza nikotini mara nyingi kwa kuvuta [[sigara]] nyingine.


== Hasara na hatari zake ==
== Hasara na hatari zake ==
Hatari hasa ya dawa lenyewe ni uraibu ya hatari ya kutawaliwa nayo.
Hatari hasa ya dawa lenyewe ni uraibu wa hatari ya kutawaliwa nayo.


=== Sumu ya neva ===
=== Sumu ya neva ===
Kwa viwango kikubwa zaidi hatari zake kama sumu ya neva ni muhimu. Kiwango cha miligramu moja ya nikotini kwa kilogramu moja ya uzani wa mtu kinatosha kumwua mtu. Yaani mtu mwenye uzani wa 70 [[kg]] hufariki akiingiza miligramu 70 mwilini. Hapa ni kwa mfano hatari ya watoto wadogo kula sigara bila kujijua: sigara moja huwa na miligramu 10 za nikotini. Mvutaji anaingiza sehemu yake tu kwa njia ya moshi lakini mlaji anapata yote na mtu mdogo huwa hatarini kabisa.
Kwa viwango kikubwa zaidi hatari zake kama sumu ya neva ni muhimu. Kiwango cha [[miligramu]] moja ya nikotini kwa [[kilogramu]] moja ya [[uzani]] wa mtu kinatosha kumwua mtu. Yaani mtu mwenye uzani wa [[kg]] 70 hufariki akiingiza miligramu 70 mwilini. Hapa ni kwa mfano hatari ya [[watoto wadogo]] kula sigara bila kujijua: sigara moja huwa na miligramu 10 za nikotini. Mvutaji anaingiza sehemu yake tu kwa njia ya [[Moshi (wingu)|moshi]] lakini mlaji anapata yote na mtu mdogo huwa hatarini kabisa.


Nikotini ni kati ya sumu kali kabisa hivyo imetumiwa kama dawa la wadudu kwa sababu mimea haina matatizo naye ni wanyama tu. Lakini nchi nyingi zimepiga matumizi haya marufuku kutokana na hatari kwa watu wanaotumia dawa au wanaoishi katika mazingira ambako inatumiwa.
Nikotini ni kati ya sumu kali kabisa, hivyo imetumiwa kama dawa la [[wadudu]] kwa sababu mimea haina matatizo nayo, ni [[wanyama]] tu. Lakini nchi nyingi zimepiga marufuku matumizi haya kutokana na hatari kwa watu wanaotumia dawa au wanaoishi katika [[mazingira]] ambako inatumiwa.


== Sumu katika moshi ya sigara ==
== Sumu katika moshi wa sigara ==
Hasara za nikotini katika sigara zinaenda sambamba na kemikali zinazokuja pamoja nayo katika sigara kama njia kuu ya kutumia nikotini. Hapa wataalamu hawana uhakika kiasi gani magonjwa yanayoonekana katiy a wavutaji husababishwa na nikotini hasa au na nikotini pamoja na kemikali nyingine ndani ya moshi.
Hasara za nikotini katika sigara zinaenda sambamba na kemikali zinazokuja pamoja nayo katika sigara kama njia kuu ya kutumia nikotini. Hapa [[wataalamu]] hawana uhakika kiasi gani [[magonjwa]] yanayoonekana kati ya wavutaji husababishwa na nikotini hasa au na nikotini pamoja na kemikali nyingine ndani ya moshi.


Hasara zilizotazamiwa ni kama vile:
Hasara zilizotazamwa ni kama vile:
* hamu ya kula inapungua
* hamu ya kula inapungua
* asidi inaongezeka tumboni
* [[asidi]] inaongezeka tumboni
* maumivu ya kichwa
* [[maumivu ya kichwa]]
* mishipa ya damu hujikaza; ianonekana kuna uhusiano na mishipa membama kati ya wavutajiwa miaka mingi
* [[mshipa wa damu|mishipa ya damu]] hujikaza; inaonekana kuna uhusiano na [[mshipa|mishipa]] myembamba kati ya wavutaji wa miaka mingi
** hii inaongeza hatari ya magonjwa ya moyo
** hii inaongeza hatari ya magonjwa ya [[moyo]]
** inaogeza hatari ya thrombini yaani kuzibwa kwa mishipa ya damu
** inaogeza hatari ya [[thrombini]] yaani kuzibwa kwa mishipa ya damu
** viungo vya mwili vilivyo mbali na moyo havipokei damu na lishe ya kutosha; hapa ni sababu ya kuoza kwa miguu ya wavuta tumbaku.
** viungo vya mwili vilivyo mbali na moyo havipokei [[damu]] na [[lishe]] ya kutosha; hapa ni sababu ya kuoza kwa [[miguu]] ya wavuta tumbaku.
** vidonda hupoa polepole
** [[kidonda|vidonda]] hupoa polepole
** nguvu ya kuzaa kwa wanaume hupungua
** [[nguvu ya kuzaa]] kwa [[wanaume]] hupungua

== Jina ==
Jina la dawa latokana jina la kitaalamu la tumbaku "Nicotiana tabacum" na hili lilitokea
na [[Jean Nicot]] aliyekuwa balozi wa [[Ufaransa]] nchini [[Ureno]]. Alijipatia mbegu za tumbako wakati mmea huu ulikuwa umeingia kutoka Amerika akazituma Paris kwa utafiti.

Dawa la nikotini ndani ya majani ya mmea lilibuniwa 1828 na wanakemia Wajerumani.


== Picha ==
<gallery>
<gallery>
Image:Nicotine-2D-skeletal.png|Muundo wa kikemia wa nikotini
Image:Nicotine-2D-skeletal.png|Muundo wa kikemia wa nikotini
Image:Nicotine.qutemol.png| Molekuli ya nikotini
Image:Nicotine.qutemol.png|[[Molekuli]] ya nikotini
</gallery>
</gallery>

{{mbegu-kemia}}
{{mbegu-kemia}}



Pitio la 12:07, 21 Februari 2016

Nikotini ni dutu ya alkaloidi katika mimea mbalimbali (hasa mtumbaku) ambayo ni dawa linaloathiri neva za mwanadamu. Matumizi yake ni hasa katika sigara, lakini pia katika kemikali na madawa.

Kuanzia kiasi fulani ni sumu kali, kwa viwango vidogo inaamsha neva za watu. Hatari yake kwa mwanadamu ni hasa uzoefu unaotokea na kugeuka haraka uraibu unaotawala mwili na roho kwa hamu ya kurudia matumizi ya nikotini. Katika sifa hii inafanana na madawa ya kulevya hata kama kiwango cha kumwamsha mtu haufikii hali ya ulevi wa namna yoyote.

Jina

Jina la dawa linatokana na jina la kitaalamu la mtumbaku "Nicotiana tabacum" na hili lilitokana na Jean Nicot de Villemain aliyekuwa balozi wa Ufaransa nchini Ureno katika karne ya 16. Alijipatia mbegu za mtumbaku wakati mmea huu ulikuwa umeingia Ulaya kutoka Amerika akazituma Paris kwa utafiti. Ndiye mtu wa kwanza kuleta mbegu ya mtumbaku nchini Ufaransa.

Dawa la nikotini ndani ya majani ya mmea liligunduliwa na wanakemia Wajerumani mwaka 1828.

Matokeo ya nikotini yanayotafutwa na watu

Matokeo ya kimwili ya nikotini kwa kiwango kidogo ni kuharakisha pigo la moyo na kupandisha kanieneo ya damu. Sifa hii inatafutwa na watu wakisema matumizi ya tumbaku husaidia kuondoa au kupunguza uchovu na kuamsha ubongo. Lakini uamsho huu haudumu muda mrefu na mtu anapaswa kuongeza nikotini mara nyingi kwa kuvuta sigara nyingine.

Hasara na hatari zake

Hatari hasa ya dawa lenyewe ni uraibu wa hatari ya kutawaliwa nayo.

Sumu ya neva

Kwa viwango kikubwa zaidi hatari zake kama sumu ya neva ni muhimu. Kiwango cha miligramu moja ya nikotini kwa kilogramu moja ya uzani wa mtu kinatosha kumwua mtu. Yaani mtu mwenye uzani wa kg 70 hufariki akiingiza miligramu 70 mwilini. Hapa ni kwa mfano hatari ya watoto wadogo kula sigara bila kujijua: sigara moja huwa na miligramu 10 za nikotini. Mvutaji anaingiza sehemu yake tu kwa njia ya moshi lakini mlaji anapata yote na mtu mdogo huwa hatarini kabisa.

Nikotini ni kati ya sumu kali kabisa, hivyo imetumiwa kama dawa la wadudu kwa sababu mimea haina matatizo nayo, ni wanyama tu. Lakini nchi nyingi zimepiga marufuku matumizi haya kutokana na hatari kwa watu wanaotumia dawa au wanaoishi katika mazingira ambako inatumiwa.

Sumu katika moshi wa sigara

Hasara za nikotini katika sigara zinaenda sambamba na kemikali zinazokuja pamoja nayo katika sigara kama njia kuu ya kutumia nikotini. Hapa wataalamu hawana uhakika kiasi gani magonjwa yanayoonekana kati ya wavutaji husababishwa na nikotini hasa au na nikotini pamoja na kemikali nyingine ndani ya moshi.

Hasara zilizotazamwa ni kama vile:

Picha

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikotini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.