Garissa
Mandhari
Garissa | |
Mahali pa mji wa Garissa katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°27′25″S 39°39′30″E / 0.45694°S 39.65833°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Garissa |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 119,696 |
Garissa ni mji nchini Kenya ulio makao makuu ya kaunti ya Garissa. Unaunda kata ya eneo bunge la Garissa Mjini[1].
Wakazi walikuwa 119,696 wakati wa sensa ya mwaka 2009[2].
Mto Tana hupitia eneo la manispaa.
Wakazi walio wengi ni raia wa Kenya walio Wasomali kwa lugha na utamaduni pamoja na raia wa Somalia waliohamia hapa kutokana na hali ya vita nchini mwao. Kundi kubwa la wenyeji ni wa ukoo wa Waogaden.
Tazama pia
Tanbihi
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Garissa.org Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- GovtKenya-Population-PDF Archived 1 Machi 2020 at the Wayback Machine.
- Registration centres by electoral area and constituency Archived 28 Juni 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Garissa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |