Kaunti ya Kisumu
Mandhari
Kaunti ya Kisumu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,155,574 katika eneo la km2 2,085.4, msongamano ukiwa hivyo wa watu 554 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Kisumu.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Kisumu ina maeneo bunge yafuatayo[2]:
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
[hariri | hariri chanzo]- Kisumu East 220,997
- Kisumu Central 174,145
- Kisumu West 172,821
- Seme 121,667
- Muhoroni 154,116
- Nyando 161,508
- Nyakach 150,320
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Kisumu-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Kisumu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |