Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Malaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Malaba ni mji wa Kenya katika kaunti ya Busia.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 63,324[1].

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.