Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Gesi asilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uzalishaji wa gesi asilia duniani

Gesi asilia ni gesi inayopatikana katika ardhi na inayotumiwa na binadamu kama fueli.

Tabia za gesi asilia

[hariri | hariri chanzo]

Kikemia ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali kama methani zilizotokana na kuoza kwa mata ogania kama mimea ya miaka mingi iliyopita.

Gesi asilia inapatikana katika ardhi yenye mwamba wenye vinyweleo vingi ulioko chini ya ganda la mwamba imara zaidi unaozuia gesi kupanda juu zaidi.

Ni fueli kisukuu ambayo ni muhimu kwa matumizi ya kibinadamu katika injini za kutengeneza umeme na pia kwa kuongeza joto katika nyumba za watu kwenye nchi zenye baridi.

Kwa matumizi ya kibinadamu gesi asilia hukamatwa kwenye chanzo chake. Baadaye inasafishwa kwa kuondoa maji na hidrokaboni mbalimbali ili kufikia kiwango cha juu cha methani cha asilimia 90 na zaidi[1]. Baada ya kusafishwa inafaa kusafirishwa katika mabomba kwa kilomita mamia au maelfu hadi pale inapogawiwa kwa watumiaji.

Kama hakuna mabomba pale gesi inapozalishwa gesi inabadilishwa kuwa gesi miminika, kwa kuipoza hadi sentigredi -161°C (chini ya sifuri). Katika hali hiyo gesi ni miminika inachukua nafasi ndogo tu. Husafirishwa kwa meli zinazobeba tangi zinazopoozwa na kupokewa katika bandari maalumu zenye vifaa vya kutunzia gesi hii baridi.

Chanzo cha gesi na petroliamu

[hariri | hariri chanzo]

(linganisha: Chanzo cha mafuta ya petroli)

Mara nyingi gesi asilia hutokea mahali pamoja na mafuta ya petroli (petroliamu) kwa sababu dutu hizo mbili zilitokea pamoja kwenye tako la bahari kutokana na viumbe vya algae na planktoni.

Bahari imejaa viumbe vidogo hivi ambavyo vinashuka chini hadi tako la bahari baada ya kufa. Huko haviweza kuoza kama kawaida kutokana na ukosefu wa oksijeni, hivyo hubadilika kuwa ganda la tope ogania. Baada ya miaka milioni ganda la tope hufunikwa na mashapo kama mchanga utakaokuwa mwamba. Chini ya funiko hilo tope ogania hupokea shinikizo kubwa pia joto na hivyo molekuli zinazojenga mwili wa algae hupasuliwa kuwa safu za hidrokaboni. Zile zilizo nzito zinakaa chini kama mafuta na sehemu nyepesi zinapanda juu ya mafuta kama gesi. Hapo gesi inashikwa na tabaka la mwamba imara linalozuia kupanda kwake. Kama tabaka la namna hiyo halipo hakuna gesi tena maana yote imeshapotea kwa kupanda juu na kuingia hewani muda mrefu uliopita.

Kikemia mafuta yale sawa na gesi asilia ni hasa mchanganyiko wa hidrokaboni mbalimbali lakini gesi huwa na molekuli nyepesinyepesi tofauti na mafuta yenye molekuli nzitonzito.

Chini ya ardhi gesi ambayo ni nyepesi hupatikana juu ya mafuta. Wakati akiba ya gesi na petroliamu chini ya ardhi hutobolewa kwa keekee gesi inatangulia kuondoka. Zamani makampuni yaliyotafuta petroliamu yalichoma gesi bila kuitumia lakini siku hizi thamani kubwa ya gesi imetambuliwa.

Gesi asilia inasafirishwa kutoka mahali inapopatikana ama kwa meli za pekee au kwa mabomba makubwa ya kimataifa.

Uzalishaji

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2004 takriban mita za mjao bilioni 589 zilizalishwa. Zilitosheleza asilimia 24 za mahitaji ya nishati duniani. Nchi zinazozalisha gesi nyingi duniani kwa sasa ni Urusi na Marekani. Urusi ina pia akiba kubwa duniani maana kuna bado kiasi kikubwa sana ya gesi chini ya ardhi. Lakini nyingine zenye akiba kubwa ni nchi zilizopo kando ya Ghuba la Uajemi ambazo ni Uajemi, Qatar, Saudia na Falme za Kiarabu.

Gesi hukatamwa kwenye chanzo chake, kusafishwa halafu kusafirishwa kwa njia ya bomba hadi watumiaji au hadi bandari inapowekwa kwenye meli za tangi. Kwa kawaida gesi asilia ama hugandamizwa kuwa miminika kwa ajili ya usafirishaji kwenye mabomba.

Nchi Akiba zilizothebitishwa
(millioni m³)
Tarehe Uzalishaji
(million m³)
Tarehe Matumizi
(millioni m³)
Tarehe mahuruji
(millioni m³)
Tarehe madhuhuli
(millioni m³)
Date
Dunia 175,400,000
makadirio 2008 3,021,000
makadirio 2007 3,198,000
makadirio 2007 929,900
makadirio 2007 957,600
2007
Urusi 44,650,000
Nafasi ya 1
makadirio 2008 654,000
Nafasi ya 1
makadirio 2007 481,000
Nafasi ya 2
makadirio 2007 173,000
Nafasi ya 1
makadirio 2007 68,200
Nafasi ya 5
makadirio 2007
Uajemi 26,850,000
Nafasi ya 2
makadirio 2008 111,900
Nafasi ya 4
makadirio 2007 111,800
Nafasi ya 3
makadirio 2007 6,200
Nafasi ya 25
makadirio 2007 6,100
Nafasi ya 27
makadirio 2007
Qatar 25,630,000
Nafasi ya 3
makadirio 2008 59,800
Nafasi ya 14
makadirio 2007 20,500
Nafasi ya 33
makadirio 2007 39,300
Nafasi ya 7
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Saudia 7,167,000
Nafasi ya 4
makadirio 2008 75,900
Nafasi ya 8
makadirio 2007 75,900
Nafasi ya 9
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Falme za Kiarabu 6,071,000
Nafasi ya 5
makadirio 2008 48,790
Nafasi ya 17
makadirio 2006 43,110
Nafasi ya 16
makadirio 2006 6,848
Nafasi ya 24
2005 est. 1,343
Nafasi ya 46
2005
Marekani 5,977,000
Nafasi ya 6
makadirio 2008 593,400
Nafasi ya 1
2009 est. 646,600
Nafasi ya 1
2009 est. 23,280
Nafasi ya 10
makadirio 2007 130,300
Nafasi ya 1
makadirio 2007
Nigeria 5,210,000
Nafasi ya 7
makadirio 2008 34,100
Nafasi ya 22
makadirio 2007 12,900
Nafasi ya 41
makadirio 2007 21,200
Nafasi ya 11
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Venezuela 4,708,000
Nafasi ya 8
makadirio 2008 26,500
Nafasi ya 26
makadirio 2007 26,500
Nafasi ya 28
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Algeria 4,502,000
Nafasi ya 9
makadirio 2008 85,700
Nafasi ya 6
makadirio 2007 26,300
Nafasi ya 29
makadirio 2007 59,400
Nafasi ya 4
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Iraq 3,170,000
Nafasi ya 10
makadirio 2008 15,660
Nafasi ya 32
makadirio 2008 9,454
Nafasi ya 46
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Kazakhstan 2,832,000
Nafasi ya 11
makadirio 2008 27,880
Nafasi ya 25
makadirio 2007 30,580
Nafasi ya 26
makadirio 2007 8,100
Nafasi ya 23
makadirio 2007 10,800
Nafasi ya 17
makadirio 2007
Turkmenistan 2,832,000
Nafasi ya 12
makadirio 2008 68,880
Nafasi ya 11
makadirio 2007 19,480
Nafasi ya 35
makadirio 2007 49,400
Nafasi ya 6
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Indonesia 2,659,000
Nafasi ya 13
makadirio 2008 56,000
Nafasi ya 15
makadirio 2007 23,400
Nafasi ya 30
makadirio 2007 32,600
Nafasi ya 8
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Umoja wa Ulaya 2,476,000
makadirio 2008 197,800
makadirio 2007 497,300
makadirio 2007 NA
NA NA
NA
Malaysia 2,350,000
Nafasi ya 14
makadirio 2008 64,500
Nafasi ya 13
makadirio 2007 32,900
Nafasi ya 23
makadirio 2007 31,600
Nafasi ya 9
makadirio 2007 0
makadirio 2007
China 2,265,000
Nafasi ya 15
makadirio 2008 69,270
Nafasi ya 10
makadirio 2007 70,510
Nafasi ya 10
makadirio 2007 5,360
Nafasi ya 26
makadirio 2007 3,871
Nafasi ya 34
makadirio 2007
Norwei 2,241,000
Nafasi ya 16
makadirio 2008 99,300
Nafasi ya 5
makadirio 2008 6,500
Nafasi ya 52
makadirio 2007 85,700
Nafasi ya 3
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Uzbekistan 1,841,000
Nafasi ya 17
makadirio 2008 65,190
Nafasi ya 12
makadirio 2007 51,180
Nafasi ya 13
makadirio 2007 14,010
Nafasi ya 15
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Misri 1,656,000
Nafasi ya 18
makadirio 2008 47,500
Nafasi ya 18
makadirio 2007 31,800
Nafasi ya 24
makadirio 2007 15,700
Nafasi ya 14
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Kanada 1,648,000
Nafasi ya 19
makadirio 2008 187,000
Nafasi ya 3
makadirio 2007 92,900
Nafasi ya 6
makadirio 2007 107,300
Nafasi ya 2
makadirio 2007 13,200
Nafasi ya 15
makadirio 2007
Kuwait 1,586,000
Nafasi ya 20
makadirio 2008 12,500
Nafasi ya 37
makadirio 2006 12,500
Nafasi ya 42
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Libya 1,419,000
Nafasi ya 21
makadirio 2008 14,800
Nafasi ya 33
makadirio 2006 6,390
Nafasi ya 53
makadirio 2006 9,900
Nafasi ya 21
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Uholanzi 1,416,000
Nafasi ya 22
makadirio 2008 76,330
Nafasi ya 7
makadirio 2007 46,420
Nafasi ya 14
makadirio 2007 55,660
Nafasi ya 5
makadirio 2007 25,730
Nafasi ya 12
makadirio 2007
Ukraine 1,104,000
Nafasi ya 23
makadirio 2008 21,050
Nafasi ya 29
makadirio 2008 66,320
Nafasi ya 12
makadirio 2008 4,000
Nafasi ya 28
makadirio 2006 65,400
Nafasi ya 6
makadirio 2007
Uhindi 1,075,000
Nafasi ya 24
makadirio 2008 31,700
Nafasi ya 23
makadirio 2007 41,700
Nafasi ya 18
makadirio 2007 0
makadirio 2007 10,000
Nafasi ya 21
makadirio 2007
Azerbaijan 849,500
Nafasi ya 25
makadirio 2008 9,770
Nafasi ya 41
makadirio 2007 9,770
Nafasi ya 45
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
2005
Australia 849,500
Nafasi ya 26
makadirio 2008 43,620
Nafasi ya 20
makadirio 2007 29,400
Nafasi ya 27
makadirio 2007 19,910
Nafasi ya 12
makadirio 2007 5,689
Nafasi ya 28
makadirio 2007
Oman 849,500
Nafasi ya 27
makadirio 2008 24,100
Nafasi ya 28
makadirio 2007 11,000
Nafasi ya 44
makadirio 2007 13,100
Nafasi ya 16
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Pakistan 792,800
Nafasi ya 28
makadirio 2008 30,800
Nafasi ya 24
makadirio 2007 30,800
Nafasi ya 25
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Bolivia 750,400
Nafasi ya 29
makadirio 2008 14,700
Nafasi ya 34
makadirio 2007 3,000
Nafasi ya 71
makadirio 2007 11,700
Nafasi ya 18
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Trinidad na Tobago 481,300
Nafasi ya 30
makadirio 2008 39,000
Nafasi ya 21
makadirio 2007 20,800
Nafasi ya 32
makadirio 2007 18,100
Nafasi ya 13
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Yemen 478,500
Nafasi ya 31
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Argentina 446,000
Nafasi ya 32
makadirio 2008 44,800
Nafasi ya 19
makadirio 2007 44,100
Nafasi ya 15
makadirio 2007 2,600
Nafasi ya 31
makadirio 2007 1,900
Nafasi ya 44
makadirio 2007
Ufalme wa Maungano (Uingereza) 412,000
Nafasi ya 33
makadirio 2008 72,300
Nafasi ya 9
makadirio 2007 91,100
Nafasi ya 7
makadirio 2007 10,400
Nafasi ya 19
makadirio 2007 29,200
Nafasi ya 11
makadirio 2007
Meksiko 392,200
Nafasi ya 34
makadirio 2008 55,980
Nafasi ya 16
makadirio 2007 68,290
Nafasi ya 11
makadirio 2007 2,973
Nafasi ya 29
makadirio 2007 11,690
Nafasi ya 16
makadirio 2007
Brunei 390,800
Nafasi ya 35
makadirio 2008 13,800
Nafasi ya 35
makadirio 2006 3,990
Nafasi ya 62
makadirio 2006 9,400
Nafasi ya 22
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Brazil 347,700
Nafasi ya 36
makadirio 2008 9,800
Nafasi ya 40
makadirio 2007 19,800
Nafasi ya 34
makadirio 2007 0
makadirio 2007 10,000
Nafasi ya 20
makadirio 2007
Peru 334,700
Nafasi ya 37
makadirio 2008 3,400
Nafasi ya 50
makadirio 2008 3,400
Nafasi ya 67
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008
Thailand 331,200
Nafasi ya 38
makadirio 2008 25,400
Nafasi ya 27
makadirio 2007 35,300
Nafasi ya 21
makadirio 2007 0
makadirio 2007 9,800
Nafasi ya 22
makadirio 2007
Burma 283,200
Nafasi ya 39
makadirio 2008 12,600
Nafasi ya 36
makadirio 2006 3,620
Nafasi ya 64
makadirio 2006 9,900
Nafasi ya 20
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Angola 269,800
Nafasi ya 40
makadirio 2008 680
Nafasi ya 65
makadirio 2006 680
Nafasi ya 90
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Ujerumani 254,800
Nafasi ya 41
makadirio 2008 17,960
Nafasi ya 30
makadirio 2007 97,440
Nafasi ya 5
makadirio 2007 12,220
Nafasi ya 17
makadirio 2007 88,350
Nafasi ya 3
makadirio 2007
Syria 240,700
Nafasi ya 42
makadirio 2008 6,500
Nafasi ya 46
makadirio 2008 4,400
Nafasi ya 58
makadirio 2008 NA
NA 0
makadirio 2007
Papua Guinea Mpya 226,500
Nafasi ya 43
makadirio 2008 140
Nafasi ya 75
makadirio 2006 140
Nafasi ya 97
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Timor-Leste 200,000
Nafasi ya 44
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Vietnam 192,500
Nafasi ya 45
makadirio 2008 6,860
Nafasi ya 45
makadirio 2007 6,860
Nafasi ya 50
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Poland 164,800
Nafasi ya 46
makadirio 2008 6,025
Nafasi ya 47
makadirio 2007 16,380
Nafasi ya 38
makadirio 2007 45
Nafasi ya 38
makadirio 2007 10,120
Nafasi ya 19
makadirio 2007
Bangladesh 141,600
Nafasi ya 47
makadirio 2008 15,700
Nafasi ya 31
makadirio 2007 15,700
Nafasi ya 39
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Cameroon 135,100
Nafasi ya 48
makadirio 2008 20
Nafasi ya 86
makadirio 2006 20
Nafasi ya 106
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Msumbiji 127,400
Nafasi ya 49
makadirio 2008 1,650
Nafasi ya 59
makadirio 2006 1,450
Nafasi ya 81
makadirio 2006 0
2005 est. 0
makadirio 2007
Colombia 122,900
Nafasi ya 50
makadirio 2008 7,220
Nafasi ya 44
makadirio 2006 7,220
Nafasi ya 49
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Ufilipino 98,540
Nafasi ya 51
makadirio 2008 2,200
Nafasi ya 56
makadirio 2006 2,200
Nafasi ya 77
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Chile 97,970
Nafasi ya 52
makadirio 2008 1,800
Nafasi ya 58
makadirio 2007 4,200
Nafasi ya 59
makadirio 2007 0
makadirio 2007 2,400
Nafasi ya 39
makadirio 2007
Italia 94,150
Nafasi ya 53
makadirio 2008 9,706
Nafasi ya 42
makadirio 2007 84,890
Nafasi ya 8
makadirio 2007 68
Nafasi ya 37
makadirio 2007 73,950
Nafasi ya 4
makadirio 2007
Bahrain 92,030
Nafasi ya 54
makadirio 2008 11,330
Nafasi ya 39
makadirio 2006 11,330
Nafasi ya 43
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Jamhuri ya Kongo 90,610
Nafasi ya 55
makadirio 2008 180
Nafasi ya 71
makadirio 2006 180
Nafasi ya 95
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Sudan 84,950
Nafasi ya 56
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Kuba 70,790
Nafasi ya 57
makadirio 2008 1,218
Nafasi ya 62
2007 1,218
Nafasi ya 85
2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Denmark 70,510
Nafasi ya 58
makadirio 2008 9,223
Nafasi ya 43
makadirio 2007 4,555
Nafasi ya 57
makadirio 2007 4,517
Nafasi ya 27
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Tunisia 65,130
Nafasi ya 59
makadirio 2008 2,550
Nafasi ya 53
makadirio 2006 3,850
Nafasi ya 63
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
2005
Romania 63,000
Nafasi ya 60
makadirio 2008 12,500
Nafasi ya 38
makadirio 2006 17,090
Nafasi ya 37
2007 0
makadirio 2007 4,800
Nafasi ya 29
makadirio 2007
Namibia 62,290
Nafasi ya 61
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Rwanda 56,630
Nafasi ya 62
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Korea Kusini 50,000
Nafasi ya 63
makadirio 2008 640
Nafasi ya 67
makadirio 2007 37,000
Nafasi ya 19
makadirio 2007 0
makadirio 2007 34,400
Nafasi ya 10
makadirio 2007
Afghanistan 49,550
Nafasi ya 64
makadirio 2008 20
Nafasi ya 85
makadirio 2006 20
Nafasi ya 105
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Serbia 48,140
Nafasi ya 65
makadirio 2008 650
Nafasi ya 66
2005 est. 2,550
Nafasi ya 72
2005 est. 0
2005 est. 2,100
Nafasi ya 41
2004 est.
Kroatia 40,900
Nafasi ya 66
makadirio 2008 2,892
Nafasi ya 52
2007 3,300
Nafasi ya 68
2007 751.7
Nafasi ya 33
2007 1,055
Nafasi ya 49
2007
Guinea ya Ikweta 36,810
Nafasi ya 67
makadirio 2008 1,300
Nafasi ya 60
makadirio 2006 1,300
Nafasi ya 83
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Israel 30,440
Nafasi ya 68
makadirio 2008 2,350
Nafasi ya 55
makadirio 2006 2,270
Nafasi ya 74
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
New Zealand 29,670
Nafasi ya 69
makadirio 2008 4,573
Nafasi ya 48
makadirio 2007 4,572
Nafasi ya 56
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Gabon 28,320
Nafasi ya 70
makadirio 2008 100
Nafasi ya 77
makadirio 2006 100
Nafasi ya 99
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Mauritania 28,320
Nafasi ya 71
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Cote d'Ivoire 28,320
Nafasi ya 72
makadirio 2008 1,300
Nafasi ya 61
makadirio 2006 1,300
Nafasi ya 84
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Ethiopia 24,920
Nafasi ya 73
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Ghana 22,650
Nafasi ya 74
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Japan 20,900
Nafasi ya 75
makadirio 2008 3,729
Nafasi ya 49
makadirio 2007 100,300
Nafasi ya 4
makadirio 2007 0
makadirio 2007 95,620
Nafasi ya 2
makadirio 2007
Austria 16,140
Nafasi ya 76
makadirio 2008 1,848
Nafasi ya 57
makadirio 2007 8,436
Nafasi ya 48
makadirio 2007 2,767
Nafasi ya 30
makadirio 2007 9,658
Nafasi ya 23
makadirio 2007
Slovakia 14,160
Nafasi ya 77
makadirio 2008 128
Nafasi ya 76
makadirio 2007 6,216
Nafasi ya 54
makadirio 2007 180
Nafasi ya 35
makadirio 2007 6,268
Nafasi ya 26
makadirio 2007
Ireland 9,911
Nafasi ya 78
makadirio 2008 457
Nafasi ya 68
makadirio 2007 4,984
Nafasi ya 55
makadirio 2007 0
makadirio 2007 4,552
Nafasi ya 31
makadirio 2007
Ecuador 9,369
Nafasi ya 79
makadirio 2006 280
Nafasi ya 70
makadirio 2006 280
Nafasi ya 93
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Georgia 8,495
Nafasi ya 80
makadirio 2008 10
Nafasi ya 89
makadirio 2007 1,490
Nafasi ya 80
makadirio 2007 0
makadirio 2007 1,480
Nafasi ya 45
makadirio 2007
Uturuki 8,495
Nafasi ya 81
makadirio 2008 893
Nafasi ya 64
makadirio 2007 36,600
Nafasi ya 20
makadirio 2007 31
Nafasi ya 39
makadirio 2007 35,830
Nafasi ya 8
makadirio 2007
Hungaria 8,098
Nafasi ya 82
makadirio 2008 2,545
Nafasi ya 54
makadirio 2007 13,360
Nafasi ya 40
makadirio 2007 138
Nafasi ya 36
makadirio 2007 10,450
Nafasi ya 18
makadirio 2007
France 7,277
Nafasi ya 83
makadirio 2008 953
Nafasi ya 63
makadirio 2007 42,690
Nafasi ya 17
makadirio 2007 966
Nafasi ya 32
makadirio 2007 42,900
Nafasi ya 7
makadirio 2007
Tanzania 6,513
Nafasi ya 84
makadirio 2008 146
Nafasi ya 74
makadirio 2006 146
Nafasi ya 96
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Taiwan 6,229
2008 416
2007 13,600
2007 0
makadirio 2008 10,900
2007
Jordan 6,031
Nafasi ya 85
makadirio 2008 320
Nafasi ya 69
makadirio 2006 2,250
Nafasi ya 76
makadirio 2006 0
makadirio 2007 2,400
Nafasi ya 40
makadirio 2007
Bulgaria 5,663
Nafasi ya 86
makadirio 2008 0
makadirio 2007 3,500
Nafasi ya 65
makadirio 2007 0
2007 3,229
Nafasi ya 37
2007
Somalia 5,663
Nafasi ya 87
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Tajikistan 5,663
Nafasi ya 88
makadirio 2008 16
Nafasi ya 88
2008 542.7
Nafasi ya 91
2008 0
2008 512.7
Nafasi ya 53
2008
Kyrgyzstan 5,663
Nafasi ya 89
makadirio 2008 18
Nafasi ya 87
makadirio 2007 768
Nafasi ya 89
makadirio 2007 0
makadirio 2007 750
Nafasi ya 52
makadirio 2007
Ucheki 3,964
Nafasi ya 90
makadirio 2008 172
Nafasi ya 72
makadirio 2007 8,622
Nafasi ya 47
makadirio 2007 402
Nafasi ya 34
makadirio 2007 8,628
Nafasi ya 24
makadirio 2007
Guatemala 2,960
Nafasi ya 91
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Belarus 2,832
Nafasi ya 92
makadirio 2008 164
Nafasi ya 73
makadirio 2007 21,760
Nafasi ya 31
makadirio 2007 0
makadirio 2007 21,600
Nafasi ya 13
makadirio 2007
Hispania 2,548
Nafasi ya 93
makadirio 2008 88
Nafasi ya 78
makadirio 2007 34,430
Nafasi ya 22
makadirio 2007 0
makadirio 2007 34,470
Nafasi ya 9
makadirio 2007
Ugiriki 1,982
Nafasi ya 94
makadirio 2008 24
Nafasi ya 84
makadirio 2007 4,069
Nafasi ya 61
makadirio 2007 0
makadirio 2007 4,100
Nafasi ya 32
makadirio 2007
Moroko 1,557
Nafasi ya 95
makadirio 2008 60
Nafasi ya 79
makadirio 2006 60
Nafasi ya 101
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Benin 1,133
Nafasi ya 96
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 991.1
Nafasi ya 97
makadirio 2008 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Albania 849.5
Nafasi ya 98
makadirio 2008 30
Nafasi ya 82
makadirio 2006 30
Nafasi ya 103
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Barbados 141.6
Nafasi ya 99
makadirio 2008 29.17
Nafasi ya 83
makadirio 2006 29.17
Nafasi ya 104
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Afrika Kusini 27.16
Nafasi ya 100
makadirio 2006 2,900
Nafasi ya 51
makadirio 2006 3,100
Nafasi ya 70
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
2005
Macau 0.3
makadirio 2008 0
makadirio 2008 81.6
makadirio 2008 0
makadirio 2008 81.9
makadirio 2008
Aruba 0
2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Botswana 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Ubelgiji 0
2006 0
makadirio 2007 17,390
Nafasi ya 36
makadirio 2007 0
makadirio 2007 17,340
Nafasi ya 14
makadirio 2007
Visiwa vya Solomon 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Morisi 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Mali 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Masedonia 0
makadirio 2008 0
makadirio 2007 100
Nafasi ya 100
makadirio 2006 0
makadirio 2007 102.8
Nafasi ya 56
2007
Malawi 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Montserrat 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Mongolia 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Moldova 0
makadirio 2006 50
Nafasi ya 80
makadirio 2006 2,440
Nafasi ya 73
makadirio 2007 0
makadirio 2007 2,440
Nafasi ya 38
makadirio 2007
Madagaska 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Lithuania 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 3,440
Nafasi ya 66
makadirio 2007 0
makadirio 2007 3,440
Nafasi ya 35
makadirio 2007
Zimbabwe 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Zambia 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Eswatini 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Samoa 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Sahara ya Magharibi 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
U.S. Virgin Islands 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
British Virgin Islands 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Saint Vincent na Grenadini 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Uruguay 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 102.8
Nafasi ya 98
makadirio 2007 0
makadirio 2007 116.9
Nafasi ya 55
2007
Burkina Faso 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Uganda 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Sao Tome na Principe 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Togo 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Tonga 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Visiwa vya Turks na Caicos 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Uswisi 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 3,232
Nafasi ya 69
makadirio 2007 0
makadirio 2007 3,232
Nafasi ya 36
makadirio 2007
Uswidi 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 1,006
Nafasi ya 87
makadirio 2007 0
makadirio 2007 1,006
Nafasi ya 50
makadirio 2007
Saint Lucia 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Singapur 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 6,600
Nafasi ya 51
makadirio 2008 0
makadirio 2007 6,600
Nafasi ya 25
makadirio 2008
Sierra Leone 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Slovenia 0
makadirio 2006 4
Nafasi ya 90
makadirio 2006 1,105
Nafasi ya 86
makadirio 2006 0
makadirio 2007 1,073
Nafasi ya 48
2005
Saint Helena 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Shelisheli 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Saint Kitts na Nevis 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Saint Pierre na Miquelon 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Puerto Rico 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 736.2
makadirio 2007 0
makadirio 2007 736.2
makadirio 2007
Guinea-Bissau 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Ureno 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 4,112
Nafasi ya 60
makadirio 2007 0
makadirio 2007 4,095
Nafasi ya 33
makadirio 2007
Panama 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Paraguay 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Nicaragua 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Antili za Kiholanzi 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Surinam 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Nauru 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Nepal 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008
Vanuatu 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Niger 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Niue 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
New Caledonia 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Maldivi 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008
Malta 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Lebanon 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Laos 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Kiribati 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Korea Kaskazini 0
2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Kenya 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Jamaika 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Iceland 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Honduras 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Luxemburg 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 1,329
Nafasi ya 82
makadirio 2007 0
makadirio 2007 1,329
Nafasi ya 47
makadirio 2007
Lesotho 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Liberia 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Hong Kong 0
makadirio 2006 0
2008 3,080
makadirio 2008 0
2008 3,080
makadirio 2008
Haiti 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Guyana 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Guinea 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Guam 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Greenland 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Grenada 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Gibraltar 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Gambia 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Polynesia ya Kifaransa 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Visiwa vya Faroe 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Visiwa vya Falkland 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Fiji 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Finland 0
2006 0
makadirio 2007 2,268
Nafasi ya 75
makadirio 2007 0
makadirio 2007 4,576
Nafasi ya 30
makadirio 2007
El Salvador 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Eritrea 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Estonia 0
makadirio 2006 0
2007 1,003
Nafasi ya 88
2007 0
2007 1,003
Nafasi ya 51
makadirio 2007
Jamhuri ya Dominika 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 250
Nafasi ya 94
makadirio 2006 0
makadirio 2007 239.8
Nafasi ya 54
2005
Dominica 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Jibuti 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Cyprus 0
2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Visiwa vya Cook 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Cape Verde 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Jamhuri ya Afrika ya Kati 0
2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Costa Rica 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Komori 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Visiwa vya Cayman 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Sri Lanka 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 0
makadirio 2008 NA
NA
Chad 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Kambodia 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Burundi 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Bhutan 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Belize 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Bosnia na Herzegovina 0
2006 0
makadirio 2007 400
Nafasi ya 92
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
2005
Bahamas 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Bermuda 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Armenia 0
2006 0
makadirio 2007 2,050
Nafasi ya 78
makadirio 2007 0
makadirio 2007 2,050
Nafasi ya 42
makadirio 2007
Samoa ya Marekani 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Antigua na Barbuda 0
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007
Kosovo NA
NA 0
2007 0
2007 NA
NA NA
NA
Latvia NA
NA 0
makadirio 2007 2,040
Nafasi ya 79
makadirio 2007 0
makadirio 2007 2,040
Nafasi ya 43
makadirio 2007
Senegal NA
NA 50
Nafasi ya 81
makadirio 2006 50
Nafasi ya 102
makadirio 2006 0
makadirio 2007 0
makadirio 2007

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]

Gesi huchomwa kama chanzo cha nishati kwa matumzi ya kibinadamu. Inachoma kwa kuonyesha ulimi wa buluu ambao ni safi hauachishi gesi nyingi za machafuko hewani.

Matumizi yake ni hasa

  • Uzalishaji umeme: gesi inapasha maji moto kwa kuendesha rafadha ya kuzalisha umeme
  • Upishi: gesi asilia hupatika ama kwa bomba hadi kila nyumba au katika chupa za gesi
  • Ukanzaji wa nyumba katika mazingira baridi
  • Fueli ya magari
  • Aina za plastiki hutengewezwa kwa gesi asilia

Gesi asilia husafiwa kwa sababu inachangia kidogo tu kwenye machafuko ya mazingira hasa kupanda kwa halijoto duniani. Hata hivyo si fueli bila machafuko. Pia sawa na fueli kisukuu nyingine akiba zake zinazidi kupungua haraka.

Kurasa nyingine

[hariri | hariri chanzo]
  1. Background, naturalgas.org, iliangaliwa Juni 2019

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]